ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
- Thread starter
- #221
Hata 2million inatisha kuanza kwa kuishi Kama ndege ukiwa site unanunua but kuanzia 5million ni nzuri zaidiMimi mkuu shida yangu sio kuchimba naenda kama broker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata 2million inatisha kuanza kwa kuishi Kama ndege ukiwa site unanunua but kuanzia 5million ni nzuri zaidiMimi mkuu shida yangu sio kuchimba naenda kama broker
WAPI?mkuu nilikuwa na pambana na hali yangu. mimi nipo tu naendelea kazi hizi za ujasilimali wa uchimbaji madini.
Hongera sana ruby garnet kwa kupambana na kutumia elimu yako kuishi! Nimekuwa napitia uzi wako huu - ni wa 2017! Tafadhali tupe hali ilivyo sasa (2022) katika sekta ya uchimbaji, ununuzi na uuzajia wa dhahabu (uuzaji kuanzia kwa wachimbaji wadogo , brokers hadi kwa Dealers na kama wapo MASTER DEALERS.nachimba madini ya dhahaku mkoani lindi. pia niaviwanja vywa jipsum. si hayo tu pia ninaviwanja vya dhahabu geita ambavyo sijaanza kuvifanyia kazi ambako ni nyumbani twetu. pia nilikuwa na chimba gemstoni aina ya malaya garnet huku lindi. na nilikuwa naendesha mladi wangu wa uzalishaji kokoto huku huku lindi. kwa bahati nzuri au mbaya nimeuuza.
nafikri nimekujibu. NB sijawahi kuajiliwa toka nihitimu wala sijawahi kupanga kuomba kazi za kuajili. hivyo sina profile ya kwenye migodi mikubwa.
Acid ganiMkuu
1. Kwa sample hio inamana copper nyingi sana kwaio ili kutumia cyanide inabidi upunguze kiasi icho bila ivo cyanide italika sana na utavuna copa nyingi badala ya gold.
Kwahiyo labla utafute njia mbadala za kuondoa copper kabla ya cynidation.
Ni testwork tu (metallurgical test) ndo itakupa ipi njia nzuri zaidi ya kuondoa copper.
Mana hata iyo copper kuna aina mbalimbali za copper katika mwamba yaani free au primary, secondary na complex copper, kwa hiyo treatment zake zinakua tofauti kulingana na aina ya kopper.
Mkuu mara nyingi waozeshaji wanafanya kazi kimazoea, hivyo hawafanyi tafiti ili wapate majibu. Kama unamarudio yanasumbua copper basi fanya metallurgical testing. Ndiyo maana acicia wanasafirisha sababu ni hiyo njia za kawaida walishindwa.
2. Kuna njia tatu za kuongeza purity ya gold. Electrorefining, smelting na acidification. Mara nyingi wachimbaji wadogo huwa wanatumbukiza kwenye asidi ambayo hutafuna uchafu mwingine na haina reaction na gold hivyo husababisha purity iongezeke. Wachimbaji wengi hasa makota hutumia acidi hata kusibitisha kama kweri ni gold na diyo hiyo inasaidia kuongeza purity.
Kama sijakujibu vizuri unaweza uliza tena mkuu minamna nyingine
Dhahabu mbichi ni ipi hiyo?Biashara ya madini ni ishu sana hapa navyoongea metoka dsm nilipeleka dhahabu ila meshindwa kuuza merudi nayo... Ilikuwa hivi kuna jamaa yangu ni mfanyabiashara ya dhahabu toka kitambo kuna eneo limelipuka lina dhahabu nikaazima scale nikaenda kununua sasa mzigo ulivyojaa jamaa kaniambia yeye ana muhindi anamuuziaga kule kkoo ivo niende atanielekeza sasa meenda anampigia simu muhindi kuna mtu anakuja muhindi akagoma katu katu kuwa ni bora ningeongozana nae na kila nikijaribu kwenda kwa masonara wahindi wakubwa wanasema hawanunui dhahabu mbichi, mwisho imenibidi nirudi mkoani na mzigo wangu
Ile iliyotoka machimboni direct haijachomwaDhahabu mbichi ni ipi hiyo?
Asante, nina swali la nyongeza kwa ufafanuzi zaidi. Yaani ni ile ambayo bado ina udongo na mawe, ambayo haijatenganishwa na "uchafu" huo? Kama ni hiyo, inauzwaje sasa kwa hao masonara au ndiyo mpaka waichome wenyewe? Hili likoje vidmate?Ile iliyotoka machimboni direct haijachomwa
Inakuwa ishasafishwa na wachimbaji ila inachomwa na moto mdogo wa kawaida ambao hauwezi kuchoma uchafu wote hivyo dealer mkubwa anaichoma na gesi mpaka inayayuka kama mshumaa then inapimwa gold purity % na purity ndiyo itakayoamua bei utakayopewa kwa kila gramAsante, nina swali la nyongeza kwa ufafanuzi zaidi. Yaani ni ile ambayo bado ina udongo na mawe, ambayo haijatenganishwa na "uchafu" huo? Kama ni hiyo, inauzwaje sasa kwa hao masonara au ndiyo mpaka waichome wenyewe? Hili likoje vidmate?
Sasa ninamladi wa mwalo kanegele- masumbwe ndani ya mkoa wa GeitaWAPI?
Nitafanya uchambuzi kwa utulivu Kisha nipost Mkuu. Asante kwa kuomba Hilo umenipa swala mhimu la kutazama masoko yetuHongera sana ruby garnet kwa kupambana na kutumia elimu yako kuishi! Nimekuwa napitia uzi wako huu - ni wa 2017! Tafadhali tupe hali ilivyo sasa (2022) katika sekta ya uchimbaji, ununuzi na uuzajia wa dhahabu (uuzaji kuanzia kwa wachimbaji wadogo , brokers hadi kwa Dealers na kama wapo MASTER DEALERS.
Sijaelewa vizuri swali lako mkuuA
Acid gani
Kunauchomaji wa Aina 3. 1. Kuchoma kwa Moto wa kawaida ili kutoa Mercury 2. Kuchoma kwa gas is uchafu wa wakawaida(physical uchafu) utoke na dhahabu ikae pekeyake hii ni kuchoma mpaka gold inayeyuka na Kuwa Kama uji kabisa.Asante, nina swali la nyongeza kwa ufafanuzi zaidi. Yaani ni ile ambayo bado ina udongo na mawe, ambayo haijatenganishwa na "uchafu" huo? Kama ni hiyo, inauzwaje sasa kwa hao masonara au ndiyo mpaka waichome wenyewe? Hili likoje vidmate?
Mkuu kwa hio tukianza kuzika watu wetu katika mass graves tunaweza ongeza uwezekano wa kuzalisha mafuta mengi kutoka na masalia ya viume binadamu?Naweza kukujibu kama ifuatavyo
1. Ni vitu gani hasa vinasababisha mafuta kujitengeneza huko chini ya ardhi?
Jibu
Mafuta hutengenezwa kutokana na mkusanyiko wa masalia ya viumbe hai na mimea ambavyo kwa pamoja hufukiwa na mchanga (sediments) kwa kipindi kirefu sana (millions of years) hasa katika maeneo ya mabonde, maziwa, bahari (basin area), mgandamizo na joto linalotokana na kinakirefu cha mchanga kilichofukia masalia ya viumbe na mimea ndicho kinachopelekea kuzalishwa kwa mafuta, gesi na makaa yam mawe (fossil fuels).
2. Na ni kwa nini kuna baadhi ya maeneo mafuta yako kwa wingi sana tofauti na pengine? mfano huko uarabuni toka enzi na enzi uchumi wao ni mafuta tu.
Jibu
Kiwango cha masalia ya viumbe na mimea kinachofukiwa huchagiza kiasi cha mafuta kitachotengenezwa ingawa kiwango kinaweza kikawa sawa lakin kiasi cha oxygeni kikizidi hupelekea decomposition kuwa kubwa na hivyo kuharibu bond ya hydrogen na carbon ambazo ndizo hupelekea mafuta kutengenezwa.
3. ..itatokea hizo reserves ziishe?
Jibu
Hii ni aina ya nishati ambayo hupungua kadiri unavyo izalisha kwaiyo ukianza kuzalisha lazima itafika siku itaisha
4. huku kwetu je kiasi kilichogundulika kinaweza kufikia kiwango walicho nacho?
Jibu
Huku kwetu mafuta bado hayajagunduliwa ingawa serikali kupitia shirika la maendelea Tanzania (TPDC) zinafanya jitihada yakuendelea kutafuta katika maeneo mbalinmbali nchini
Ni Gesi asilia ndio tumefanikiwa kugundua katika maeneo ya mwambao wa pwani na bahari ya hindi ambayo imefikia kiasi cha 57 Trillion Cubic feet (TCF) (data za mwaka 2016 TPDC) hiki kiasi ni sawa na mapipa ya mafuta (equivalent oil amount in barrel) 9,826,499,031, kiasi hiki cha gesi tuliyo nayo ni asilimia 0.86 ya gesi yote ambayo tayali imeshagunduliwa duniani, bado jitihada zakuitafuta zinaendelea.
5. Kuna tofauti ya mafuta yanayopatikana baharini na yale yanayopatikana kwenye maziwa?
Jibu
Katika maana ya utengenezwaji wake unafanana kote baharini (offshore) na nchi kavu (onshore) kote hutenezwa kwa namna moja kama ilivyo elezwa katika jibu la swali la kwanza, kinachoweza kutofautisha reserve moja na nyingine ni viambata vilivyomo katika mafuta (chemical composition of crude oil or gas).
6. Inawezekana kupata mafuta au gas eneo la nchi kavu? mfano pale Ruvu naona kuna shughuli inayoendelea nikaambiwa ni utafiti wa mafuta na gas?
Jibu
Uwezekano upo kama nilivo eleza katika jibu la swali la kwanza kwa mafuta au gesi vinatengenezwa katika maeneo ya mabonde (basin)ambapo uwezekano wa masalia ya viumbe hai na mimea kufukiwa na mchanga (sediments), kwa hiyo Ruvu ni moja ya mabonde (basin) ndo maana uliona tafiti zinaendelea.
7. kuna viashiria gani vinavyoonesha kuwa hapa kuna mafuta na gas?
Jibu
Namna raisi yakujua kama eneo fulan kuna gesi au mafuta, unaweza kuona gas/oil seep hii inamaana mafuta au gesi ambayo imepenya miamba nakutokezea juu ya ardhi pasipo kuchibwa kunabaadhi ya maeneo Tanzania kuna izi seeps Kunasehemu inaitwa wingayongo maeneo ya rufiji na sehemu fulani kule mtwara karibu na mnazibay.
Zipo namna nyingine nyingi zakitaalammu zinazotumika kutafuta mafuta au gesi lakin namna pekee ambayo unaweza kujua kama kweli kuna mafuta au gesi nikuchimba kisima nakufanya upembuzi yakinifu.
Ooh ndio maana nikienda kwenye masoko mengi ya dhahabu naona mitungia ya gesi ni kwa ajili ya kuchoma sioKunauchomaji wa Aina 3. 1. Kuchoma kwa Moto wa kawaida ili kutoa Mercury 2. Kuchoma kwa gas is uchafu wa wakawaida(physical uchafu) utoke na dhahabu ikae pekeyake hii ni kuchoma mpaka gold inayeyuka na Kuwa Kama uji kabisa.
3. Uchomaji wa kusafisha gold ili ipande asilimia ya purity, hii huitwa gold purification. Ndiyo huisafisha gold Hadi kufikia asilimia 99.99%
Ndiyo kwa ajiri ya kuchoma Kama nilivyoeleza katika namba 2Ooh ndio maana nikienda kwenye masoko mengi ya dhahabu naona mitungia ya gesi ni kwa ajili ya kuchoma sio
Mafuta na gas za Sasa zimejitengeneza zaidi ya 16million years ago hasa Kati ya 100-250 million years ago. Hivyo siyo swala la muda mfupi. Pia Kuna mazingira yanayohitajima mmea au mnyama kufunikwa na udongo Kisha akaweze Kuwa mafuta ama gasi. Mazingira haya yanahitajika kwenye maji au mazingira yenye majimaji kwa muda mrefu Kama vile bahari, ziwa ama sehemu za chemichemi za maji nyingi SanaMkuu kwa hio tukianza kuzika watu wetu katika mass graves tunaweza ongeza uwezekano wa kuzalisha mafuta mengi kutoka na masalia ya viume binadamu?
Yaaah hata mimi najua lazima ichomwe sana na kupata purity then biashara ainaendelea; lakini hawa big dealers, huwa wana nunua chini ya bei ya dhahabu ya siku hiyo! Wana nunua kwa kutumia bei ya dhahabu ya 20K au 22K! Kwa nini sijui!Inakuwa ishasafishwa na wachimbaji ila inachomwa na moto mdogo wa kawaida ambao hauwezi kuchoma uchafu wote hivyo dealer mkubwa anaichoma na gesi mpaka inayayuka kama mshumaa then inapimwa gold purity % na purity ndiyo itakayoamua bei utakayopewa kwa kila gram
Nitakutafuta kuhusu hilo suala la MWALO! Kazi njema.Sasa ninamladi wa mwalo kanegele- masumbwe ndani ya mkoa wa Geita
Wana JF tunasubiri ruby garnet. Mungu akufanyie wepesi.Nitafanya uchambuzi kwa utulivu Kisha nipost Mkuu. Asante kwa kuomba Hilo umenipa swala mhimu la kutazama masoko yetu