Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Unaongea about family or about countries? Don’t be a fool 🥸
Kwani hujui family ties ni misingi ya kuungana. Hata EU moja ya sababu kubwa ya muungano wao ni kujiona wote as denoting from the Aryan race.
 

Waulize walio kuwa wajumbe wa Baraza la wakilishi watakwambia, Samia Suluhu, alie kuwa spika wa Baraza la wakilishi kificho, almost ccm yote Unguja waliondoka na neno serikali tatu, kufika Dodoma wakageuka baada ya kila mmoja kupewa 100 milion 🥸
 
ushahidi basi weka
 
You are almost cracking the nuts I concur with you he is an excoriated extremist to entertain as he won't help to cement Zanzibaris brotherhood integration if I can put it in that way for everyone to discern the concept.
 
Hakuna kitu kinaitwa Umakamo kuwakilisha msaidizi wa Rais; usahihi ni MAKAMU. Pendeni Kiswahili na mkitumia kwa UFASAHA
 
Mtu aliyekuwa kwenye Trenches na Maalim kwa miaka na miaka ndiye anayefaa.
CV ya Babu duni inajitosheleza sana kuanzia kisomo, utendaji kazi serikalini hata harakati za kisiasa
Duni umri umeenda hawezi saidia transition inatakiwa awekwe mtu ambaye ataweza jijenga kwa miaka 10 ijayo bila kukwama.
Hapa cha kuangaliwa ni continuity na progression sio fadhila na uzoefu tu. Kwa kusema hayo anayefit hapo Ni Jussa,Masoud, na Mansoor.
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.

Acha propaganda za Kilumumba! Yaani unamuona radical kisa tu anapigania maslahi ya nchi yao?! Unamuona radical kwavile alikuwa tayari kuupoteza uanasheria mkuu for the sake of serikali 3?! Vipi kuhusu wanasiasa wa bara ambao walisusia Bunge la Katiba baada ya kuona hoja ya serikali tatu imenajisiwa na JK?! Yaani ulitaka aimbe asichokiamini kwa ajili ya kutetea madaraka kama ilivyo wale mamburula wanaoimba simulizi za Nyungu? Kama wanachotaka ni Zanzibar yao wewe Mtanganyika kinakuuma nini?

ACHA KUTUMIKA ingawaje kutumika kwako hakutasaidia chochote kwenye suala hili.
 
Huyo awezi kuwa system itaamulika nani wa kuwa naona Juma duni ananafasi kubwa
 
[/QUOTE]
Kama wazanzibari Sisi tunaangalia Zanzibar, na ndio sababu kuu ya marehemu Maalim seif kukubalika visiwani Zanzibar.
sema kama wapemba waarabu usiseme wazanzibari !!!!! Maalim Seif alikubalika kwa wapemba tena sio wote ni wapemba waarabu!!! Ukisikia kuna mtu anasema sisi wazanzibari tunataka seriikali tatu ni uwongo anajificha tu kichaka cha uzanzabari ila huwa mara nyingi ni mpemba mwenye asili ya kiarabu sio ngozi nyeusiu lakini ukiona ni mweusi huyo ni mla biriani na pilau majumbani kwa wapemba waaravbu siku za sikukuu za Idi
 
Mleta mada kaweka provoking thought between two alternatives wajadiliwe na nilichofanya mimi ni kuelezea misimamo ya mmoja wapo ilivyo sio kosa. Ni katika muktadha wa kuzijadili option alizoweka uhitaji kutumwa na mtu.

Ningekuwa nimeanzisha mada mimi na kumnanga mmoja labda ndio accusation zako zingekuwa zina basis, be it feeble, otherwise ni open discussion.

Wewe toa maoni yako kama anafaa na kwanini? sio mambo ya kushutumiana bila ya ushahidi.
 
Mjomba umerudia rudia sana hoja kiasi umefanya andiko lko liwe refu bila ya sababu za msingi.
Hayo yote uliyoandika yangetosha kwa mistari michache tu na ungeeleweka vizuri.
Nilidhani mimi tu, mpaka nimeshindwa kumaliza alichoandika
 
Maoni yako sio objective bali ni ya kipropaganda yenye elements za chuki ndani yake. Yaani suala la yeye kupinga serikali mbili kwako unaona kama ni dhambi kubwa wakati hata huku bara watu walipinga serikali mbili! Kwa mfano, ulikuwa na sababu ipi ya msingi ya kumfananisha na Uamsho watu ambao kwa mujibu wenu ni magaidi?! Kwanini umuone toxic kwa sababu alikuwa anatetea serikali tatu?Hivi ni nani ambae aliharibu rasimu ya Katiba Mpya kati ya Masoud na KIkwete hadi uone huyo ndo toxic anayepaswa kufunguliwa kesi fake za ugaidi kama walivyofanyiwa uamsho?

Sijasema umetumwa bali nimesema unatumika, na bado nasisitiza unatumika ama kwa kujua au kwa kutojua.
 
Yaleyale misingi ya kuanzishwa kwa uamsho sio udini per kama unavyofikiria. Walianza kama kikundi cha masheikh wenye kudai Zanzibar huru na kufanya mihadhara kwa madai ya kutoa elimu jinsi Zanzibar inavyopoteza identity yake kupitia muungano ndio maana wakajiita uamsho.

Niliposema ni radicals not necessary in religious way (though they were in the end) Ila nilimaamisha njia zao za kutaka kuuvunja muungano zilikuwa uncompromising kama huyo Othman Masoud.

Ukumbuke uamsho walitaka serikali ya Zanzibar isiendesheke kwa nguvu kwa kuingiza watu barabarani na kupambana na vyombo vya ulinzi walionywa mara kadhaa kistaarabu.

Wahusika walikuwa wanakamatwa wanaachiwa hawasikii if anything wakitoka ndio wana andaa maandamano makubwa zaidi; wakatoka kwenye siasa na kuingiza udini na kuanza kuchoma makanisa ndipo JK akaona inatosha.

Kwa hivyo ninaposema ni radical kama uamsho ni katika hatua za uncompromising attitude alizo nazo dhidi ya muungano.

Lost in translation kwako pengine ukuwa mfuatiliaji mzuri wa uhamsho katika harakati zao jamaa wanakesi ya uhaini adhabu yake kunyongwa; swala ambalo watu wengi mnalichukulia lightly ni bora funguo zao za jela zimetupwa kuliko kukutwa na hatia.
 
Apewe huyo huyo anafaa sana. Mungu ibariki Zanzibar
 
Muungano haulazimishwi , waacheni wazanzibar waamue
 
Duni hamna kitu. Zanzibar inahitaji kwenda mbele, Hata Mwinyi atamhitaji Othman Masoud. Kuwapa nafasi hiyo watu kama Juma Duni, na akina Ismail Jussa ni kuchagua kurudi nyuma.

Ila wahafidhina ndani ya CCM sidhani kama CCM watamhitaji Othman.
Kama ni hivyo Haji Duni anapita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…