Dadykiller
Senior Member
- Apr 24, 2024
- 198
- 347
Naunga mkono hoja...tena wamama wengi ndo chanzo Cha haya...Yani wanakuwa na roho mbaya kwa dada wa kazi mwsho wa siku wanakuja lipizia kwa mtoto kipnd ambacho mama hayupoKuna watu wanawachukulia house girls kama mifugo yao.Kila siku ni vipigo au matusi na kejeli.
Mtavuna mnachopanda.
Ni kweli etiKuna watu wanawachukulia house girls kama mifugo yao.Kila siku ni vipigo au matusi na kejeli.
Mtavuna mnachopanda.
No offense: ila Jamani msitutukane tusio na watoto , roho haihusiani na kuzaa! Mbona hatujazaa na tunapenda watoto sanaa na wapo wamezaa na wana roho mbaya mnoNi kweli kabsa mkuu! tena unamuachia mtu ambaye hajui uchungu wa kuzaa wala kubeba mimba! Dah Punani?! Si uchafu huo sasa!
Kwamba dada atoke kimapenzi na Mumeo? Hato kudharau?Nyege hizo zinawasumbua mpaka wanafanya mambo ya ajabu. Mnachukua wadogo sana na hawajui kinachowasibu.
Chukua mtu mzima ili awe anafanya kazi ya kumshughulikia mumeo au wanao wa kiume wakubwa. Ikibidi hata wa kike awashughulikie, wasisumbue watu.
Kama ni mwanamke unaeajiri madada wa kazi basi chukua dada ambae anayaweza mambo na wewe na yeye mue na siri, unamfndisha amshughulikie mumeo kwa malipo ya ziada wakati haupo, huku unajifanya kama hujui lolote.
Hayo ya juu nawaelekeza wale wasio koo za simba. Koo za Simba hatuna tatizo hilo, tunapewa wadada wa koo za simba wanakuja na wanafanyayote boila siri wala nini, anaweza kuja akaukalia na mama nyumbani ndio akamshikia kuulengesha.
Neno linanichefuaga hiloUtasikia wanaambiwa,unalala na kula bure kwangu...huo mshahara wa 20,000 unakutosha 😄
Ova
Asilimia kubwa tuna fikra hasi sana kuhusu hawa wasaidizi wa nyumbani na inapelekea kuwatendea ubaya. Reaction ni matokea kama haya.Mauaji au majeraha huwa ni matokeo ya baadhi ya vitendo ambavyo hutokea ndani ya nyumba huku wadada wa kazi wakiwa ni wahusika wakuu. Ukiachana na kuhusu kuvunja ndoa za watu wakitumia uchawi na mbinu zingine basi usalama wa familia zetu umekuwa ni dhaifu sana tena pale ambapo tunatoka na kuelekea kwenye harakati za kimaisha.
Matokeo ya fikra hasi kuhusu dada wa kazi, maisha ya kuviziana. Sad.Hakujawahi kuwa na kusali kwa kulazimishwa.
Unafanya makosa kumbatiza mtu kwa lazima. Ukristo haulazimishwi.
Kulazimisha kitu chema ni thawabu.Hakujawahi kuwa na kusali kwa kulazimishwa.
Unafanya makosa kumbatiza mtu kwa lazima. Ukristo haulazimishwi.
Hakuna dharau, akijuwa unajuwa na aelewe kua anakusaidia mwenye nyumba kwa mambo yote. Tena unamwambia mzee asijue kama yeye anaelewa.Kwamba dada atoke kimapenzi na Mumeo? Hato kudharau?
Na ndo maana wanaume wengi wanapita na beki tatu endapo mke akileta ujinga wa kushinda kuhudumia ndoaHakuna dharau, akijuwa unajuwa na aelewe kua anakusaidia mwenye nyumba kwa mambo yote. Tena unamwambia mzee asijue kama yeye anaelewa.
Hakuna mwanamme anaetosheka na mwanamke mmoja.
Nisamehe sana Mkuu kama nimekuboa kwa sentensi yangu ila nilichokuwa natamani kusema ni kuwa Sio sahihi kumuacha mtoto wako akiwa na dada wa kazi ambaye kimsingi ni ana umri wa mtoto tena hajui uchungu wa kuzaa (mathalani dada wa kazi ana miaka 13 na unamuachia amlee mtoto wakowa miaka 7 wapi na wapi? Ni ngumu sana)No offense: ila Jamani msitutukane tusio na watoto , roho haihusiani na kuzaa! Mbona hatujazaa na tunapenda watoto sanaa na wapo wamezaa na wana roho mbaya mno
Ni roho tu ya mtu kuwa mbaya muangalie viashiria mtoto unamuacha na dada ukirudi unakuta hawana hata urafiki ujue pana jambo
Hili unalosema ni SAHIHI kbsa , unakuta una ndugu yako kijj upo tuu, badala umchukue mfungulie genge au kaduka apo nyumbn huku anakulindia familia yako hapo hapo nyumbn ni bora zaid kulko RiskSi tumeacha utamaduni wa kuishi na ndugu majumbani mwetu sababu ya ubinafsi tutegemee mengi zaidi ya haya.
Fungeni camera siku hizi hata elf 40 unafunga chip una connect na simu yako unaona kinachoendelea home
Ni kweli ila sasa mwanaume mwezangu unakula kitoto cha miaka 16 kweli 😀 yaani ni kama umekula mtoto wako!Hakuna dharau, akijuwa unajuwa na aelewe kua anakusaidia mwenye nyumba kwa mambo yote. Tena unamwambia mzee asijue kama yeye anaelewa.
Hakuna mwanamme anaetosheka na mwanamke mmoja.
Ni kweli Mkuu ila kuna baadhi ya ndugu kwa miaka hii wanajisahau mapema sana! Unamtoa Kijijini ila mji ndo unakuwa mwalimu wake! Atajifunza kila kitu bila kufahamu kama ni baya au zuri. Mwishowe viburi na visirani vya kutoshaHili unalosema ni SAHIHI kbsa , unakuta una ndugu yako kijj upo tuu, badala umchukue mfungulie genge au kaduka apo nyumbn huku anakulindia familia yako hapo hapo nyumbn ni bora zaid kulko Risk