Umakini wa kuishi na dada wa kazi majumbani kwetu

We ni Fisi sio SImba 😀
 
Una hoja murua sana
 
Mnawatesa watoto wa watu , ukifika unakuta wamekonda mshahara wanapewa kwa masimango hata chumba cha kulalia wanapewa kichafu .

Malipo ni hapa hapa duniani.
Hizi tabia za kuchukua dada wa kazi wa vichochoroni waache.

Unakiuta mtu ana ndugu zake huko vijijini wamechoka na maisha yeye yukp mjini. Kwanini asichukue hata mtoto wa mjomba au wa Mama mdogo ambaye na yeye anahitaji ajira?

Mtoto wa nduguyo akija kwako nayeye akafaidi Msosi mzuri, nyumba nzuri na hako kamshahara huku akikulindia nyumba na watoto je si Faraja na Neema hii?

Jambo lingine tuna force kuwa na wadasa wa kazi wakati kiuhalisia uwezo hatuna.

Una kuta mtu hata kula kwenyewe misosi mitatu ni mbinde lakini kw akutafuta sifa anaenda kukokota watoto wa watu vijijini kuwashindisha njaa na vyakula vya hadhi ya chini.
 
Mengine ni Mungu atusaidie,ila pia na sisi wamama tujitahidi kuishi nao kama watoto wetu au ndugu zetu sio unafokafoka tu.
Tuwape mda wa kupumzika na pia tuwasaidie baadhi ya kazi tunapopata nafasi.Mfano mimi mpaka leo hii watoto wangu huwa nawaogesha mwenyewe iwe mvua au jua.
 
Perfect
 
House girl wangu huu ni mwaka wa 8 ninae na hana dalili hata za kuondoka..tunaishi nae kama mtoto wa nyumbani,hakuna ambacho anakosa..tunampa mpaka likizo ya kwenda kuwasalimia kwao kila mwaka mara mbili.
Watoto wanampenda mno yani
 
Umeongea hoja ya msingi sana Mkuu
 
Safi sana! Kuna wamama hawajui mtoto wake ameoga maji ya baridi au ya moto! Wegine ndo wanafanyiwa vitendo vya kikatili! Mtoto analamba mbususu ya dada! Hapo utajua haujui.
 
House girl wangu huu ni mwaka wa 8 ninae na hana dalili hata za kuondoka..tunaishi nae kama mtoto wa nyumbani,hakuna ambacho anakosa..tunampa mpaka likizo ya kwenda kuwasalimia kwao kila mwaka mara mbili.
Watoto wanampenda mno yani
Ubarikiwe sana! Hawa wanaojikuta wanawachukulia dada wa kazi kama mifugo ndo wanayooshwa barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…