luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #101
Hapo wanapo jiuza ni short cut na kwenda kutokea eneo moja kuna wafanya biashara wadogo. Wa bidhaa za vyakula, so kufika ktk ilo soko tukapita iyo short cut na ilikuwa mapema tu saa 1 usiku iv ......Zinawaza K tuu
Sasa huyu mgeni badala akaoneshwe vitu vya maana anaenda kuoneshwa K na mwenyeji wake