Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

Kopa tu mkuu nyumba ya ndoto yako huwez imaliza leo ,labda kama iz za chumba sebure
 
Kama uko kwenye kupaua, unahitaji tena kuzika mil. 30 zaidi ili angalau ufike kwenye finishing za muhimu........kwa hiyo omba angalau vita ya yukreine isiendelee kusababisha maumivu zaidi.
 
Mkuu hata sio ya ndoto zangu ni hiz h
Kama uko kwenye kupaua, unahitaji tena kuzika mil. 30 zaidi ili angalau ufike kwenye finishing za muhimu........kwa hiyo omba angalau vita ya yukreine isiendelee kusababisha maumivu zaidi.

Mkuu unanikatisha tamaa
 
Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.

Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%

Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
CRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.

Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.

Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.

Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
 
Kama uko kwenye kupaua, unahitaji tena kuzika mil. 30 zaidi ili angalau ufike kwenye finishing za muhimu........kwa hiyo omba angalau vita ya yukreine isiendelee kusababisha maumivu zaidi.
Nyie ndo mnatisha watu kwenye ishu za Ujenzi.Sio vizuri hivyo.
 
CRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.

Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.

Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.

Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
Mkuu hili nililisikia ya kua B.OT (Bank kuu) wanamkakati wa kuwakopesha mabenk pesa ili kushusha riba ila mkuu i
mekuwaje CRDB wapate pesa ila NMB wasipate wakati NMB ni wabia wa serikali ?
 
Id yako inaonyesha unapitia magumu sana kaka, Mimi nakushauri ukope ila usipaue fungua biashara huko hutajuta maana kujenga ni kama kuzika hela.

Tena kama uko kwenye 20's na 30's usikimbilie kujenga.
 
Back
Top Bottom