Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

Id yako inaonyesha unapitia magumu sana kaka, Mimi nakushauri ukope ila usipaue fungua biashara huko hutajuta maana kujenga ni kama kuzika hela.

Tena kama uko kwenye 20's na 30's usikimbilie kujenga.
Mkuu niko mid 30's. Nashukuru kwa ushauri ila mkuu nikope pesa niweke kwenye biashara, nikipiga loss Unpaidseller mimi si ndio nitachanganyikiwa nife kabla ya siku zangu mkuu.

Kuusu kupitia magumu, uko sahihi
 
Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.

Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%

Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Hata USA government inakopa usihofu muhimu tu ni nidhamu na malengo ya mkopo
 
Mkuu hili nililisikia ya kua B.OT (Bank kuu) wanamkakati wa kuwakopesha mabenk pesa ili kushusha riba ila mkuu i
mekuwaje CRDB wapate pesa ila NMB wasipate wakati NMB ni wabia wa serikali ?
Hawajakopa BoT.

👇👇
 
Wakubwa kama wewe ni mtumishi and una nafasi ya kukopa kopa ujenge appartment za self zina bei kubwa maana room na sebule unapangisha kwa 120 hadi 150k yaan room sebule jiko
Mm nimepanga kuwa nazo hizi appartment kati ya 20 ama zaidi why
20x150000=3000,000/= kila mwezi, kwa mwaka ni 36mil ukichanganya na pensheni yako let say500000 hivi kwa mishahara yetu hii midogo hii hela inawezakukufanya ukaishi bila stress hadi unarudi kwa muumba. Pensheni yangu ya mkupuo sitaitumia kwa kazi yoyote zaidi ya kushughulikia afya yangu. Yaan sitaki naumwa niweze kwenda hata india bila kusumbua watu sana.
Kwa msiopenda usumbufu sana wa biashara kama.mm hii ndo biashara haigombi
 
Location unayoweza KUJENGA nyumba ya kupangisha Tsh 120K mpaka Tsh 150K siyo ya Bei ndogo.
 
CRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.

Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.

Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.

Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
NMB sijui wanasubiri nini ? Ukiwauliza kwa nini wao hawashushi riba kufikia 13% utasikia visingizio kibao. Kila siku wao wanakaa nyuma tu khaaa inakera kweli
 
Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.

Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%

Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Ndu gay alisema mkikopa mtapigwa mnada, kwani wewe huogopi?
 
Wakubwa kama wewe ni mtumishi and una nafasi ya kukopa kopa ujenge appartment za self zina bei kubwa maana room na sebule unapangisha kwa 120 hadi 150k yaan room sebule jiko
Mm nimepanga kuwa nazo hizi appartment kati ya 20 ama zaidi why
20x150000=3000,000/= kila mwezi, kwa mwaka ni 36mil ukichanganya na pensheni yako let say500000 hivi kwa mishahara yetu hii midogo hii hela inawezakukufanya ukaishi bila stress hadi unarudi kwa muumba. Pensheni yangu ya mkupuo sitaitumia kwa kazi yoyote zaidi ya kushughulikia afya yangu. Yaan sitaki naumwa niweze kwenda hata india bila kusumbua watu sana.
Kwa msiopenda usumbufu sana wa biashara kama.mm hii ndo biashara haigombi
Appartment moja inakula sh ngapi?
 
CRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.

Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.

Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.

Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
CRDB wameshusha ila wameongeza kwenye BIMA YA MKOPO yaani mfano kama unakopa million 10,basi utalipia kama laki 9 hivi riba.
 
Kama uko kwenye kupaua, unahitaji tena kuzika mil. 30 zaidi ili angalau ufike kwenye finishing za muhimu........kwa hiyo omba angalau vita ya yukreine isiendelee kusababisha maumivu zaidi.
Haaa haaa ajui nyumba ikianza ongea kingereza ndio balaa huanzia hapo
 
Back
Top Bottom