Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

CRDB wameshusha ila wameongeza kwenye RIBA YA MKOPO yaani mfano kama unakopa million 10,basi utalipia kama laki 9 hivi riba.
Sijakuelewa.

Hicho walicho shush Ni nini, Kama riba ya mkopo haijashushwa?
 
Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.

Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%

Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Pamoja na CRDB kushuka hadi 13% unatakiwa ufatilie hidden cost et al.

Kuhusu kujenga ni jambo nzuri sana, sema watumishi wengi ndipo wanapo fail hapo we unakopa pesa yote unaweka kwenye mjengo burden ya kukatwa mshahara utaitolea wp?? Hakikisha unakopa alafu unafanya kitu cha kufill gap la mshahara/installment then kinachobak jenga

Kumbuka mikopo ya wafanya kazi wa ngazi ya chini ili upate dau linaloeleweka itabidi uchukue miaka mingi haipungui mitano, hivyo miaka mitano utasubr ukope tena, ukija kqenye top up ndio majanga zaidi. Kopaa lkn pangilia hiyo pesa vizur bila hivyo utazeeka kabla ya umri wa kuzeeka
 
NMB sijui wanasubiri nini ? Ukiwauliza kwa nini wao hawashushi riba kufikia 13% utasikia visingizio kibao. Kila siku wao wanakaa nyuma tu khaaa inakera kweli
Dawa ni kuwauzia deni crdb,ndio watajua wanapaswa kushusha riba.
 
Pamoja na CRDB kushuka hadi 13% unatakiwa ufatilie hidden cost et al.

Kuhusu kujenga ni jambo nzuri sana, sema watumishi wengi ndipo wanapo fail hapo we unakopa pesa yote unaweka kwenye mjengo burden ya kukatwa mshahara utaitolea wp?? Hakikisha unakopa alafu unafanya kitu cha kufill gap la mshahara/installment then kinachobak jenga

Kumbuka mikopo ya wafanya kazi wa ngazi ya chini ili upate dau linaloeleweka itabidi uchukue miaka mingi haipungui mitano, hivyo miaka mitano utasubr ukope tena, ukija kqenye top up ndio majanga zaidi. Kopaa lkn pangilia hiyo pesa vizur bila hivyo utazeeka kabla ya umri wa kuzeeka
Top up haiepukiki,ukishakopa matatizo badala ya kupungua yanazidi.Hapo unakuwa mtumwa kwa ku top up kila wakati
 
Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.

Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%

Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Hawa mbwa nmb sitaki kuwasikia mangese sana
 
Mkuu mimi nipo kwenye late 20s nadhani kujenga kwangu ni kulaza hela chini...... Mimi itabidi nifanye biashara mpaka nikifika 40 ndiyo nianze ujenzi....
Kwa uzoefu mdogo nilio nao, appartment
Itakurudisha gharama miaka 10 baadaye..... So uwe na subira
 
Maisha ya watumishi wa umma..hata wakiongezewa 5k kwenye mshahara wanaenda kuikopea.

#MaendeleoHayanaChama

Halafu Mtu anakopa kwenda kujenga nyumba. Ni mambo ya ajabu. Kwenye Financial Management, kukopa na kwenda kununua kiwanja au kujenga nyumba ni sawa na kuifukia pesa chini. Ndio maana wahindi wataendelea kutuacha. Wao wanakopa na kufanya investment
 
Mkuu niko mid 30's. Nashukuru kwa ushauri ila mkuu nikope pesa niweke kwenye biashara, nikipiga loss Unpaidseller mimi si ndio nitachanganyikiwa nife kabla ya siku zangu mkuu.

Kuusu kupitia magumu, uko sahihi

Hii ni hatari sana , vijana wa mid 30 unawaza LOSS. Sasa hiyo nyumba inakuingizia nini ? Halafu bora ingekuwa nyumba kweli , ukute ni likitu tu. Hivi huko Bank mkienda kukopa hamshauriwi. Napinga mtu kukopa na kujenga nyumba mbandekisewe. Kama unajenga KKO au Posta hapo sawa
 
Mkuu mimi nipo kwenye late 20s nadhani kujenga kwangu ni kulaza hela chini...... Mimi itabidi nifanye biashara mpaka nikifika 40 ndiyo nianze ujenzi....
Kwa uzoefu mdogo nilio nao, appartment
Itakurudisha gharama miaka 10 baadaye..... So uwe na subira
Wenzetu walisema hivi hivi kwakua uwezo wa kulipa Kodi ya nyumba upo uhakika wa kula upo wakajisahau wakaw wanazaa tu wanazaa tu kwakua biashara ipo wakapeleka watoto English media, anguko la uchumi lilipowakuta wakakosa pakujistil kulipa Kodi hawezi, kulipa ada hawezi

Sasa hivi wapo kugombania kota za serikali wajibane

MY TAKE

Kama ni mtumishi wa umma na umetokea familia ya kimaskini na kwenu huna urithi mzuri usikurupukie biashara anza ujenzi japo wa chumba na sebule utakuja nishukuru badae chukua hii
 
Kujenga sasa hivi gharama zimeongezeka sana kwa vifaa ukinunua vitu na hela unaona umetoa hela nyingi kwa bidhaa chache...wangeangalia punguzo kwenye vifaa vya ujenzi aisee..
 
Wenzetu walisema hivi hivi kwakua uwezo wa kulipa Kodi ya nyumba upo uhakika wa kula upo wakajisahau wakaw wanazaa tu wanazaa tu kwakua biashara ipo wakapeleka watoto English media, anguko la uchumi lilipowakuta wakakosa pakujistil kulipa Kodi hawezi, kulipa ada hawezi

Sasa hivi wapo kugombania kota za serikali wajibane

MY TAKE

Kama ni mtumishi wa umma na umetokea familia ya kimaskini na kwenu huna urithi mzuri usikurupukie biashara anza ujenzi japo wa chumba na sebule utakuja nishukuru badae chukua hii
Ushauri wako ni mzuri sana sio Mtumishi wa umma tu yeyote mwenye uwezo wa kutoka mazingira magumu ya kufikiria kodi pana muda hilo swala linaumiza sana kichwa ila sehemu ya kulala ikiwa sio ya kodi mambo mengine yatawezekana Mkuu...
 
Halafu Mtu anakopa kwenda kujenga nyumba. Ni mambo ya ajabu. Kwenye Financial Management, kukopa na kwenda kununua kiwanja au kujenga nyumba ni sawa na kuifukia pesa chini. Ndio maana wahindi wataendelea kutuacha. Wao wanakopa na kufanya investment
Umezaliwa kwenu mnaishi nyumba.mbavu za mbwa na sehemu unayofanyia kazi biashara haziendi kabisa, utaacha kukopa ujenge wakati una familia inakuwa kila wakati na watoto wanakua wanataka kusoma?

Kumbuka, usiponumua Kiwanja leo kwa Bei ya leo, ni aidha utakuja kununua Kiwanja hicho eneo Hilo ( zuri) kwa Bei kubwa zaidi au itakubidi ukanue pembeni sana ya mji.

Kumbuka, kadri unavyosubiri ndivyo majukumu yataingezeka.
 
Ushauri wako ni mzuri sana sio Mtumishi wa umma tu yeyote mwenye uwezo wa kutoka mazingira magumu ya kufikiria kodi pana muda hilo swala linaumiza sana kichwa ila sehemu ya kulala ikiwa sio ya kodi mambo mengine yatawezekana Mkuu...
Upo sahihi mkuu, nimeongelea watumishi kwani wengi wao Wana uwezo wa kukopesheka kwa dhamana ya kazi Sasa kuwemekuwepo na upotoshaji mkubwa sana kuwa wakichukua mkopo Kisha wakajenge ni kuizika pesa

Yani mfanya biashara ana mshauri mwajiriwa kuwa kuchukua mkopo na kujenge ni kuizika pesa mwajiriwa naye anaona sawa kweli anasahau yeye ajira ndio kipato chake ambacho kinaitaji kimletee maendeleo na anasahau mfanya biashara biashara ndio kipato chake kinachoitaji kimtelee maendeleo kwaiyo mwajiriwa anapply principle za biashara kwenye utumishi matokeo yake anakopa KUPITIA mshahara ananzisha biashara na asilimia 90% hiz biashara zinakufa anajikuta pesa hana maendeleo Hana hapo ndio migogoro ofisini huanza sababu wanakuwa na strees balaa akiangalia wenzie walikopa wakanua viwanja wakakopa wakajenga, watoto wanasema shule zetu hizi za serikali ya wanafuraha yeye kuleta ujuaji watoto shule ada ngumu kulipa madeni yamemjaa kazi anaona ngumu ndio hao asilimia kubwa unaona wanahangaika na uamisho ooh nataka kurudi nyumbani bwana uku mbali mbali wapi wewe tz ya Leo miundombinu ipo vizuri wengi waongo wanamkimbia aibu za kutokuwa na maendeleo na kuwa na madeni mengi
 
Back
Top Bottom