The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
- Thread starter
-
- #21
Mkuu niko mid 30's. Nashukuru kwa ushauri ila mkuu nikope pesa niweke kwenye biashara, nikipiga loss Unpaidseller mimi si ndio nitachanganyikiwa nife kabla ya siku zangu mkuu.Id yako inaonyesha unapitia magumu sana kaka, Mimi nakushauri ukope ila usipaue fungua biashara huko hutajuta maana kujenga ni kama kuzika hela.
Tena kama uko kwenye 20's na 30's usikimbilie kujenga.
Hata USA government inakopa usihofu muhimu tu ni nidhamu na malengo ya mkopoWakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.
Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%
Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Basi mwambie akakope mil.2 akamilishe mjengo, mzee wa lugha laini....Nyie ndo mnatisha watu kwenye ishu za Ujenzi.Sio vizuri hivyo.
Hawajakopa BoT.Mkuu hili nililisikia ya kua B.OT (Bank kuu) wanamkakati wa kuwakopesha mabenk pesa ili kushusha riba ila mkuu i
mekuwaje CRDB wapate pesa ila NMB wasipate wakati NMB ni wabia wa serikali ?
Location unayoweza KUJENGA nyumba ya kupangisha Tsh 120K mpaka Tsh 150K siyo ya Bei ndogo.Wakubwa kama wewe ni mtumishi and una nafasi ya kukopa kopa ujenge appartment za self zina bei kubwa maana room na sebule unapangisha kwa 120 hadi 150k yaan room sebule jiko
Mm nimepanga kuwa nazo hizi appartment kati ya 20 ama zaidi why
20x150000=3000,000/= kila mwezi, kwa mwaka ni 36mil ukichanganya na pensheni yako let say500000 hivi kwa mishahara yetu hii midogo hii hela inawezakukufanya ukaishi bila stress hadi unarudi kwa muumba. Pensheni yangu ya mkupuo sitaitumia kwa kazi yoyote zaidi ya kushughulikia afya yangu. Yaan sitaki naumwa niweze kwenda hata india bila kusumbua watu sana.
Kwa msiopenda usumbufu sana wa biashara kama.mm hii ndo biashara haigombi
Location muhimu sana..tofauti na hapo utalia kilio cha mbwa mwizi.Location unayoweza KUJENGA nyumba ya kupangisha Tsh 120K mpaka Tsh 150K siyo ya Bei ndogo.
NMB sijui wanasubiri nini ? Ukiwauliza kwa nini wao hawashushi riba kufikia 13% utasikia visingizio kibao. Kila siku wao wanakaa nyuma tu khaaa inakera kweliCRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.
Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.
Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.
Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
Jenga nyumba vizuri, weka finishing safi, weka security nzuri eg cctv watakija tuLocation unayoweza KUJENGA nyumba ya kupangisha Tsh 120K mpaka Tsh 150K siyo ya Bei ndogo.
Ndu gay alisema mkikopa mtapigwa mnada, kwani wewe huogopi?Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.
Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%
Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Sina namna nyingine mkuuNdu gay alisema mkikopa mtapigwa mnada, kwani wewe huogopi?
Mwisho 2yrs kwa kiwango hichoMwwnyewe nna appartment zangu tano ndo nimemaliza kujenga kuta leo, zinanidai bando 20bati z mita tatu nna fikiria kukopa 20mln kwa 3yrs
Ila mm nakopa crdb
kujenga ni woga wa maishakujenga ni kama kuzika hela.
Appartment moja inakula sh ngapi?Wakubwa kama wewe ni mtumishi and una nafasi ya kukopa kopa ujenge appartment za self zina bei kubwa maana room na sebule unapangisha kwa 120 hadi 150k yaan room sebule jiko
Mm nimepanga kuwa nazo hizi appartment kati ya 20 ama zaidi why
20x150000=3000,000/= kila mwezi, kwa mwaka ni 36mil ukichanganya na pensheni yako let say500000 hivi kwa mishahara yetu hii midogo hii hela inawezakukufanya ukaishi bila stress hadi unarudi kwa muumba. Pensheni yangu ya mkupuo sitaitumia kwa kazi yoyote zaidi ya kushughulikia afya yangu. Yaan sitaki naumwa niweze kwenda hata india bila kusumbua watu sana.
Kwa msiopenda usumbufu sana wa biashara kama.mm hii ndo biashara haigombi
Mm mfanyakazi mkuuMwisho 2yrs kwa kiwango hicho
Hizo hesbu hua sipigi but sio chini ya 17mlnAppartment moja inakula sh ngapi?
CRDB wameshusha ila wameongeza kwenye BIMA YA MKOPO yaani mfano kama unakopa million 10,basi utalipia kama laki 9 hivi riba.CRDB wameshusha ( Kama wameshusha kweli ) riba kwasababu wamekopeshwa pesa nyingi sana ambazo wanatafuta sehemu ya kuziweka.
Ndio maana mkakati wao mkubwa Ni salaried employee na Wafanyabiashara.
Ila nimeona, Kama hiyo riba ya 13% CRDB itawahusu wale wanaopitishia mishahara yao kwao.
Kwa muktadha huo sidhani kama NMB watashusha riba maana wao hawajapata pesa sehemu Kama ilivyo kwa CRDB.
Hatuna namna mkuuMaisha ya watumishi wa umma..hata wakiongezewa 5k kwenye mshahara wanaenda kuikopea.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani riba ya mkopo si ndio hio 13% au?CRDB wameshusha ila wameongeza kwenye RIBA YA MKOPO yaani mfano kama unakopa million 10,basi utalipia kama laki 9 hivi riba.
Haaa haaa ajui nyumba ikianza ongea kingereza ndio balaa huanzia hapoKama uko kwenye kupaua, unahitaji tena kuzika mil. 30 zaidi ili angalau ufike kwenye finishing za muhimu........kwa hiyo omba angalau vita ya yukreine isiendelee kusababisha maumivu zaidi.