Sijakuelewa.CRDB wameshusha ila wameongeza kwenye RIBA YA MKOPO yaani mfano kama unakopa million 10,basi utalipia kama laki 9 hivi riba.
Pamoja na CRDB kushuka hadi 13% unatakiwa ufatilie hidden cost et al.Wakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.
Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%
Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Dawa ni kuwauzia deni crdb,ndio watajua wanapaswa kushusha riba.NMB sijui wanasubiri nini ? Ukiwauliza kwa nini wao hawashushi riba kufikia 13% utasikia visingizio kibao. Kila siku wao wanakaa nyuma tu khaaa inakera kweli
Top up haiepukiki,ukishakopa matatizo badala ya kupungua yanazidi.Hapo unakuwa mtumwa kwa ku top up kila wakatiPamoja na CRDB kushuka hadi 13% unatakiwa ufatilie hidden cost et al.
Kuhusu kujenga ni jambo nzuri sana, sema watumishi wengi ndipo wanapo fail hapo we unakopa pesa yote unaweka kwenye mjengo burden ya kukatwa mshahara utaitolea wp?? Hakikisha unakopa alafu unafanya kitu cha kufill gap la mshahara/installment then kinachobak jenga
Kumbuka mikopo ya wafanya kazi wa ngazi ya chini ili upate dau linaloeleweka itabidi uchukue miaka mingi haipungui mitano, hivyo miaka mitano utasubr ukope tena, ukija kqenye top up ndio majanga zaidi. Kopaa lkn pangilia hiyo pesa vizur bila hivyo utazeeka kabla ya umri wa kuzeeka
Hawa mbwa nmb sitaki kuwasikia mangese sanaWakuu nina kaproject kangu ka ujenzi nilianza mwaka juzi nimefika kwenye kupaua nimesimama, umasikini huu daaah.
Nasubiri NMB nao washushe riba nikope tena kumalizia kaproject kangu na wao wamebaki pale pale 17% CRDB wameshuka mpaka 13%
Hivi wakuu hakuna mwenye fununu hawa jamaa watashusha lini riba zao ?
Inakuwa ni patashika nguo kuchanika....Haaa haaa ajui nyumba ikianza ongea kingereza ndio balaa huanzia hapo
yaani BIMA YA MKOPO typing errors..Kwani riba ya mkopo si ndio hio 13% au?
ni BIMA YA MKOPO MKUU...Sijakuelewa.
Hicho walicho shush Ni nini, Kama riba ya mkopo haijashushwa?
Maisha ya watumishi wa umma..hata wakiongezewa 5k kwenye mshahara wanaenda kuikopea.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu niko mid 30's. Nashukuru kwa ushauri ila mkuu nikope pesa niweke kwenye biashara, nikipiga loss Unpaidseller mimi si ndio nitachanganyikiwa nife kabla ya siku zangu mkuu.
Kuusu kupitia magumu, uko sahihi
Wenzetu walisema hivi hivi kwakua uwezo wa kulipa Kodi ya nyumba upo uhakika wa kula upo wakajisahau wakaw wanazaa tu wanazaa tu kwakua biashara ipo wakapeleka watoto English media, anguko la uchumi lilipowakuta wakakosa pakujistil kulipa Kodi hawezi, kulipa ada haweziMkuu mimi nipo kwenye late 20s nadhani kujenga kwangu ni kulaza hela chini...... Mimi itabidi nifanye biashara mpaka nikifika 40 ndiyo nianze ujenzi....
Kwa uzoefu mdogo nilio nao, appartment
Itakurudisha gharama miaka 10 baadaye..... So uwe na subira
Chezea riba wewe!π π π πTop up haiepukiki,ukishakopa matatizo badala ya kupungua yanazidi.Hapo unakuwa mtumwa kwa ku top up kila wakati
Ushauri wako ni mzuri sana sio Mtumishi wa umma tu yeyote mwenye uwezo wa kutoka mazingira magumu ya kufikiria kodi pana muda hilo swala linaumiza sana kichwa ila sehemu ya kulala ikiwa sio ya kodi mambo mengine yatawezekana Mkuu...Wenzetu walisema hivi hivi kwakua uwezo wa kulipa Kodi ya nyumba upo uhakika wa kula upo wakajisahau wakaw wanazaa tu wanazaa tu kwakua biashara ipo wakapeleka watoto English media, anguko la uchumi lilipowakuta wakakosa pakujistil kulipa Kodi hawezi, kulipa ada hawezi
Sasa hivi wapo kugombania kota za serikali wajibane
MY TAKE
Kama ni mtumishi wa umma na umetokea familia ya kimaskini na kwenu huna urithi mzuri usikurupukie biashara anza ujenzi japo wa chumba na sebule utakuja nishukuru badae chukua hii
Umezaliwa kwenu mnaishi nyumba.mbavu za mbwa na sehemu unayofanyia kazi biashara haziendi kabisa, utaacha kukopa ujenge wakati una familia inakuwa kila wakati na watoto wanakua wanataka kusoma?Halafu Mtu anakopa kwenda kujenga nyumba. Ni mambo ya ajabu. Kwenye Financial Management, kukopa na kwenda kununua kiwanja au kujenga nyumba ni sawa na kuifukia pesa chini. Ndio maana wahindi wataendelea kutuacha. Wao wanakopa na kufanya investment
Upo sahihi mkuu, nimeongelea watumishi kwani wengi wao Wana uwezo wa kukopesheka kwa dhamana ya kazi Sasa kuwemekuwepo na upotoshaji mkubwa sana kuwa wakichukua mkopo Kisha wakajenge ni kuizika pesaUshauri wako ni mzuri sana sio Mtumishi wa umma tu yeyote mwenye uwezo wa kutoka mazingira magumu ya kufikiria kodi pana muda hilo swala linaumiza sana kichwa ila sehemu ya kulala ikiwa sio ya kodi mambo mengine yatawezekana Mkuu...