Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Ukipata uwezo wa kujikimu Binafsi ukataka kwenda next stage ya HAPO ndio UTAJUA Katika KILA utajiri kuna ukafiri ndani yake!!yaani damu,visasi,wizi,ujasusi HADI ulozi!!

We ona tu Mkuu!!
 
Kwa upande wa elimu ya mashuleni , wa kulaumu ni Serikali hasahasa kozi za sayansi.

Ila anayesoma uchumi mi nitashangaa kama atafeli maisha.
Unatoka sasa kwenye mstari.. tatizo hili in broader sense ni kwamba linasababishwa na mfumo wa ajira na elimu ulivyo.

Suluhu ni lazima elimu ifumuliwe iwekwe na misingi ya kujitegemea. Au mfumo wa piramid kwenye elimu utoke mana huo ndo unasababisha watu kuanguka kila unavyopanda ngazi kwenda juu na hautoi suluhu. Au mpango wa kupanga uzazi na kuwa na controlled population ufikie malengo.
Nje ya hapo tutalaumu wahanga kwamba elimu haijawasidia, hawataki kufanya kazi zingine au sio compitent kwenye kada zao.
 
Masikini ni mtu anayeishi chini ya dollar 1 kwa siku
Umaskini una layers. Mwemye mbuzi anamuona kwenye kuku maskini, mwenye kuku anamuona asiye na kuku maskini.
Mwemye nyumban tegeta anamuona mpangaji wake maskini. Mpangaji anamuona mlala nje maskini. Mlala nje anayeweza kula anamuona asiyeweza kupata mlo maskini. Ombaomba anayepata elf 20 katika kijiwe chale nae anamuona ombaomba mwenzie ambaye hapati hiyo maskini.
 
walau yeye namuona kwenye mazingira mazuri kiasi anakutana na watu wakubwa na vitu kama hivyo, japo naye ndo walewale ila sio hawa wengine tuliokutana nao mashuleni, vyuoni na sehemu zingine...hali zao ni mbaya sana
Hili jambo limekaa toi technical sana. Watu wanatoka familia za kimaskini wenye akili afrika ni wanaofanya siasa tu! Na wako karibu sana na kutoboa kuliko wengine wote. Nanauka anapata pesa lakini huwezi kumpa cheo mbele ya hela za mbunge tu!. Wengi wao wanafnyaga pia na matamasha ya mwanamke wa shoka sijui nk
 
Umasikini ni matokeo ya akili kufungwa yaani kutoruhusu au kutafuta taarifa mpya zitakazokusaidia kuyachakata mazingira yako uone fursa.
ni rahisi kwa mtoto wa tajiri kuwa masikini case study zipo nyingi.
So you sensitize to have Convergent knowledge?. Unaamini our limitation in thinking ndo chanzo Cha umaskini, right?
 

Ukiwa smart phone ni elimu tosha kuliko hata kukaa darasani
 
Both have equal power
Do not compare quality and quantity. Ukisema wote wana nguvu nakataa mana kiwanda kizima meneja analipwa laki kwa siku wafanyakazi wanalipwa elfu sita sita. Na hawafanyi chochot pamoja na uwingi wao

Tajiri mmoja anahamisha watu kumi kwa kuwalipa na anajenga godauni au kituo Cha mafuta.
 
Tajiri bila masikini kazi hazifanyiki
 
Why and how? To what extent?
Kwan maskini hwana smart?. Kabla ya kuja smart Tanzania miaka ya 1990 Hali ilikuaje?
Smartphone ni source ya kupata maarifa na taarifa ambazo unazidicode kwenye brain na kuzigeuza in practical then unapata matokeo.kila kitu kinafundishwa ni wewe tu unataka elimu gani kucompare na mazingira yako ikusaidie uzione fursa
 
Smartphone ni source ya kupata maarifa na taarifa ambazo unazidicode kwenye brain na kuzigeuza in practical then unapata matokeo.kila kitu kinafundishwa ni wewe tu unataka elimu gani kucompare na mazingira yako ikusaidie uzione fursa
Sio kwamba sioni mchango wa teknolojia. Mm nauliza ni kwamba ni what extent this argument is tangible in both quantitative and qualitative terms?. Nani hajui kama smart phone maskini wanaxo na hawatoboi au unataka kuzungumza kuhusu matumizi?.

Kuna jamaa zangu wanagugo na kufanya adoption ya innovation za nje ya afrika. Wana Hali mbaya mpaka leo kula matunda tu mpaka mshahara utoke
 
Incase of power tajiri has power,kwa sababu masikini hawana unity
Hili ndo jibu hizo zingine mbwembwe tu. Na hakuna nchi hata moja maskini wakaungana, hata ngazi ya family au neighborhood... Umaskini kumekuwa sehem ya migogoro na migongano kwa kadiri level ya umaskini ule ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…