Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Haya tukutane kwa groundHakuna kinachotuliza, tunapeana miongozo ili game iwe fair play.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tukutane kwa groundHakuna kinachotuliza, tunapeana miongozo ili game iwe fair play.
Anafundisha viziwi 🤣 hakuna anaeshikiwa bundukiHaya tukutane kwa ground
Thank youAnafundisha viziwi 🤣 hakuna anaeshikiwa bunduki
Kwani mada imekuchoma dada angu?Thank you
Alieandika essay na mimi nani kachomeka?Kwani mada imekuchoma dada angu?
Sijakosa somoKwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo.
Unakuta kiijana wa kiume anajibana, anaweka pembeni mipango yake kwa ajiri ya kutimiza mahitaji ya mwanamke, kwa ajiri ya kumuondoa katika umasikini mwanamke ambae nae pia ana miguu, mikono, ana ndugu na masaa 24 ya siku mbaya zaidi mwanamke huyu sio mke wake. Kama wewe ni huyu kijana wa kiume basi acha mara moja hiki kitu.
Mwanamke sio mlemavu au mtoto yatima ni mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi ili ajihudumie mahitaji yake.
Mwanamke ni mtu mzima anaetakiwa kujua kwamba anawajibika kupangilia matumizi yake kulingana na scale ya kipato chake.
Tupo katika ulimwengu wa 50/50 ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela na kufanya mambo makubwa hapa duniani mfano mzuri nchini kwetu tuna Rais na Spika wa bunge ambao ni wanawake.
Nakubali katika mahusiano kuna kusaidiana, kupeana zawadi n.k lakini hii iwe mutualy sio kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji, na iyo mutualy yenyewe iwe katika mzani unaokaribiana sio mmoja anatoa smartphone au kodi ya nyumba mwingine anatoa boksa na vest, huu ni utapeli.
Mapenzi ni hitaji la wote, partner mmoja akiweka sharti la kutaka material/monetary benefits maana yake uyo anafanya biashara ya ngono.
Na ieleweke ya kwamba sina shida na madada poa, kama mwanamke anafanya biashara ya ukahaba aweke wazi pale pale anapotangozwa, aseme anajiuza tukubaliane bei twende lodge tukamalizane baada ya hapo no attachments, no billing.
Lakini kama hitaji la mwanamke ni kuingia katika mahusiano basi anawajibika kujihudumia kwa kipindi chote kabla ya kuoana rasmi. Mahusiano ya kimapenzi sio ajira, ni field ambayo inawakutanisha mwanaume na mwanamke wanaojiweza kiakili na kiuchumi kwa lengo la ku-share upendo.
Ewe kijana wa kiume acha kujifanya masiha kwenye maisha ya girlfriend wako. Kumbuka mapenzi nayo huwa yana-expire, kumbuka girlfriend ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kusitisha hayo mahusiano muda wowote bila kukulipa compensation ya gharama zote ulizoingia kwa ajiri yake.
Don't guarantee on woman's loyalty at any time and be more careful when such woman is broke.
Siku hizi hata vest na boksa hatutoi mwambie 🤣🤣🤣Hii spana aaaiii 😁😁 wanaume wengi zaidi tunazidi kujanjaruka Natafuta Ajira Jadda Atoto Extrovert Kapeace Lamomy Evelyn Salt To yeye Madame B Miss Natafuta Strong and Fearless Leejay49 Zemanda Ms R DeepPond Nifah masai dada binti kiziwi Zurie
Upo sahihiNi jukumu la baba kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa
Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu
Karibu sanaSijakosa somo
Kuna ongezeko kubwa sana la vijana simps na pussy drivens, sijui shida nini, uenda hizi nyimbo za bongo fleva za kulilia mapenzi na kutukuza ngono zikawa chanzo kimojawapo
Huo ndo uanaume. Mwanamke ataona sawa kukushushia heshima, kula hela zako, kukuletea harakati za 50/50 kwenye mahusiano, kuchepuka n.k lakini mwanamke uyo uyo atakua mkali ikitokea matendo hayo yamefanywa na wifi yake yaani mke au girlfriend wa ndugu yake wa kiume.Kuna mwanangu girlfriend wake alimkosea kosa la kumvunjia heshima. Sasa binti wa watu alidhani mshikaji atajishusha kwa vile kesho kutwa yake anaenda kushinda kwake.
Mwamba kamkazia msimamo wake mulemule. Mwanamke kwa vile anajiona ni pisi kali akadhani mshikaji atajishusha hata kama kamjibu hovyo ili apate utamu aaah wapi jamaa anasema siwezi kuruhusu anivunjie heshima kwa kiwango hicho kisa nini!
Jamaa hakumtafuta na akapiga chini! Kwa vile tunaranda nao maeneo ya kazi. Mpaka leo hii yule mwanamke haamini kitu alichokifanya mshikaji!
Mapenzi mzeeNimecheka sana , hivi uwa ninawaza sana wale wanaume wanaoenda kuwajengea hadi ukweni , kusomesha ndugu wa mke , uwa nawawaza sana hivi uwa wako na gut ya namna gani .
Mzee Kwa Hilo mm nilishalikataa kabisa babu yangu aliwahi niambia jukumu la kuangalia familia na kuendeleza nyumbani ni la watoto wa kiume , sasa shemeji zako wa kiume wanakuwa na kazi Gani wakati huo bado familia yako unatakiwa kufanya jambo.Mapenzi mzee
Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo.
Unakuta kiijana wa kiume anajibana, anaweka pembeni mipango yake kwa ajiri ya kutimiza mahitaji ya mwanamke, kwa ajiri ya kumuondoa katika umasikini mwanamke ambae nae pia ana miguu, mikono, ana ndugu na masaa 24 ya siku mbaya zaidi mwanamke huyu sio mke wake. Kama wewe ni huyu kijana wa kiume basi acha mara moja hiki kitu.
Mwanamke sio mlemavu au mtoto yatima ni mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi ili ajihudumie mahitaji yake.
Mwanamke ni mtu mzima anaetakiwa kujua kwamba anawajibika kupangilia matumizi yake kulingana na scale ya kipato chake.
Tupo katika ulimwengu wa 50/50 ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta hela na kufanya mambo makubwa hapa duniani mfano mzuri nchini kwetu tuna Rais na Spika wa bunge ambao ni wanawake.
Nakubali katika mahusiano kuna kusaidiana, kupeana zawadi n.k lakini hii iwe mutualy sio kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji, na iyo mutualy yenyewe iwe katika mzani unaokaribiana sio mmoja anatoa smartphone au kodi ya nyumba mwingine anatoa boksa na vest, huu ni utapeli.
Mapenzi ni hitaji la wote, partner mmoja akiweka sharti la kutaka material/monetary benefits maana yake uyo anafanya biashara ya ngono.
Na ieleweke ya kwamba sina shida na madada poa, kama mwanamke anafanya biashara ya ukahaba aweke wazi pale pale anapotangozwa, aseme anajiuza tukubaliane bei twende lodge tukamalizane baada ya hapo no attachments, no billing.
Lakini kama hitaji la mwanamke ni kuingia katika mahusiano basi anawajibika kujihudumia kwa kipindi chote kabla ya kuoana rasmi. Mahusiano ya kimapenzi sio ajira, ni field ambayo inawakutanisha mwanaume na mwanamke wanaojiweza kiakili na kiuchumi kwa lengo la ku-share upendo.
Ewe kijana wa kiume acha kujifanya masiha kwenye maisha ya girlfriend wako. Kumbuka mapenzi nayo huwa yana-expire, kumbuka girlfriend ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kusitisha hayo mahusiano muda wowote bila kukulipa compensation ya gharama zote ulizoingia kwa ajiri yake.
Don't guarantee on woman's loyalty at any time and be more careful when such woman is broke.
Tupo pamojaNajifunza mengi kupitia nyuzi zako maana mim bado ni kijana nahitaji kujifunza mengi maishan