Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Kwa Hilo mm nilishalikataa kabisa babu yangu aliwahi niambia jukumu la kuangalia familia na kuendeleza nyumbani ni la watoto wa kiume , sasa shemeji zako wa kiume wanakuwa na kazi Gani wakati huo bado familia yako unatakiwa kufanya jambo.
Huyo mshkaji ni weweJamaa hakumtafuta na akapiga chini! Kwa vile tunaranda nao maeneo ya kazi. Mpaka leo hii yule mwanamke haamini kitu alichokifanya mshikaji
Unamsaidia mkeo halafu yeye ndie atasaidia uko kwao, hata ivyo unapaswa kujiepusha kujenga mahusiano na mwanamke masikini from the first place.Kama ukweni Hali yap ni duni usaidii?
😀😀😀Huyo mshkaji ni wewe
Haukatazwi kutoa mawazoHuyo mshkaji ni wewe
Ndiyo kawaida ya wabongo!
Mkuu Balqior umemtag DeepPond aje kufanya nini hapa wakati yeye mwenyewe kanigwa kwa chupi ya mama J hafurukuti?Hii spana aaaiii 😁😁 wanaume wengi zaidi tunazidi kujanjaruka Natafuta Ajira Jadda Atoto Extrovert Kapeace Lamomy Evelyn Salt To yeye Madame B Miss Natafuta Strong and Fearless Leejay49 Zemanda Ms R DeepPond Nifah masai dada binti kiziwi Zurie
Halafu Kapeace si nilikuambia uache hizi ligi kama unaogopa kuwa nitasoma huu uzi ni kwamba nimesoma tayari na bado nitaendelea kuwekeza kwako tena faida yote kwenye mauzo ya nyanya utatunza wewe..Alieandika essay na mimi nani kachomeka?
Udada na kaka umeanza lini?
Naamini mtoa mada ajiandae kutekwa na wasiojulika WA kike😊Hii spana aaaiii 😁😁 wanaume wengi zaidi tunazidi kujanjaruka Natafuta Ajira Jadda Atoto Extrovert Kapeace Lamomy Evelyn Salt To yeye Madame B Miss Natafuta Strong and Fearless Leejay49 Zemanda Ms R DeepPond Nifah masai dada binti kiziwi Zurie
Mkùu nimekuotea uko offside we tulia golikipa apige golikick..Ha ha ha...fala sn Wewe😀
Balaa zito hiliMkùu nimekuotea uko offside we tulia golikipa apige golikick..