Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume.

Sijakosa somo
 
Kuna ongezeko kubwa sana la vijana simps na pussy drivens, sijui shida nini, uenda hizi nyimbo za bongo fleva za kulilia mapenzi na kutukuza ngono zikawa chanzo kimojawapo

Kuna mwanangu girlfriend wake alimkosea kosa la kumvunjia heshima. Sasa binti wa watu alidhani mshikaji atajishusha kwa vile kesho kutwa yake anaenda kushinda kwake.

Mwamba kamkazia msimamo wake mulemule. Mwanamke kwa vile anajiona ni pisi kali akadhani mshikaji atajishusha hata kama kamjibu hovyo ili apate utamu aaah wapi jamaa anasema siwezi kuruhusu anivunjie heshima kwa kiwango hicho kisa nini!

Jamaa hakumtafuta na akapiga chini! Kwa vile tunaranda nao maeneo ya kazi. Mpaka leo hii yule mwanamke haamini kitu alichokifanya mshikaji!
 
Huo ndo uanaume. Mwanamke ataona sawa kukushushia heshima, kula hela zako, kukuletea harakati za 50/50 kwenye mahusiano, kuchepuka n.k lakini mwanamke uyo uyo atakua mkali ikitokea matendo hayo yamefanywa na wifi yake yaani mke au girlfriend wa ndugu yake wa kiume.

Women think it's ok to mistreat you, to take advantage of your kindness, resources and loyalty but the moments that happens to their brother or son it becomes a war, so why do you have to sufer disrespect, manipulation and emotional blackmails while they would never allow it to their brothers and sons?

You deserve the same level of respect they demand for their son, brother and father
 
Nimecheka sana , hivi uwa ninawaza sana wale wanaume wanaoenda kuwajengea hadi ukweni , kusomesha ndugu wa mke , uwa nawawaza sana hivi uwa wako na gut ya namna gani .
 
Najifunza mengi kupitia nyuzi zako maana mim bado ni kijana nahitaji kujifunza mengi maishan
 
Ngoija nichukue madini
Much thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…