Jengo lisilo generate income ni liability sababu linakusubiri upate income sehemu zingine Litafune income yako pia gari ya kutembelea nyumba ya kulala na kuamka zote ni liability zinatafuna tu income toka other sources unapata ni wadai wako kwenye personal finance nyumba ya kulala na kuamka na gari ya kutembelea sio Asset!!! Don't just think of company financial reports prepare your own personal financial reports kukariri !!! Prepare your own personal financial reports !!! Sio unakomaa tu za kampuni jiongezeBaba hapo kwenye asset na liability umewapiga watu kamba [emoji16][emoji16][emoji16].
Sawa maskiniMasikini ni watu pia, tuheshimiane tafadhali!
Point.Hata hao wahindi kwao wana nyumba wamejenga. Huwezi kuwa unaishi say Afrika Kusini ukafikiria kujenga huko. Utapanga na kufanya biashara au shughuli yoyote halali. Hii dhana ndio ipo kwa wahindi, hapa wahindi sio kwao. Kwa baadhi wenye fedha nyingi sana uwa wanajenga maeneo kama masaki, upanga n.k na wengi uwa wananunua apartment.
Halafu kujenga sio umasikini, kumiliki nyumba ni jambo bora sana katika maisha maana nyumba ni kitu ambacho kinakupa mengi sana ikiwepo kukupunguzia gharama za kodi, kukuondolea stress za kutokuwa na kwako na pia hata ukipata tatizo la kiuchumi unakuwa na pa kuanzia.
Nyumba ni kitu ambacho hata ukiondoka duniani ghafla familia yako inakuwa na sehemu ya kuanzia kuliko ukiwa huna nyumba.
Nyumba ni muhimu katika ukuaji wa miji na Taifa kwa ujumla. Unavyoona nje yale majengo ni kwamba watu wamewekeza ndio maana kunapendeza. Na sisi tujenge majengo kukuza nchi yetu. Tuachane na wahindi wale hapa sio kwao ndio maana hawajengi. Tena si wahindi tu hata wazungu hawajengi hapa kwa kuwa si kwao hapa watachuma tu ila kujenga wataenda jenga kwao
Point.Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Kijana mtoa mada inaonyesha bado ni mwanafunzi au pengine ni graduate wa mwaka jana. Hana biashara wala hajui gharama za ku rent nyumba kwaajili ya familia.Kodi ya nyumba ni kati ya vitu vinavyotafuna mtaji wa biashara kuliko maelezo..umepanga nyumba ya wastani ya laki nne kila mwezi. Kutoa kiasi hiki kama kodi ya nyumba toka kwenye pato la biashara ni pesa nyingi sana. Usipokuwa makini unaweza ukayumba hata kibiashara. Kumbuka bado biashara ina gharama zake za uendeshaji ikiwemo kodi ya ofisi, mishahara, etc.
Usipo kuwa makini utajikuta milioni inachomoka kila mwezi kwaajili ya kodi pekee.....haina afya kibiashara.
Kingine ni swala la kukopesheka na taasisi za fedha. Biashara haiwezi kusimama bila mikopo, na hakuna mkopo bila dhamana. Siku hizi hawapokei tena eneo lisiloendelezwa kama dhamana ya mkopo. Wanahitaji nyumba. Huna nyumba utatumia muda mwingi sana kusimama kibiashara.
Vijana jengeni....nyumba ni asset.
Sisi..Wewe na wenzako kina nani, Space X?
Mkuu hizi definition za asset na liability umenukuu kutoka conceptual framework gani ya uhasibu?Asset ni property that generates income wewe utakuwa mhasibu uliyesoma kwa kukariri hata kama una CPA unarekodi hata jengo bovu kama Asset wachumi hakuna ujinga wenu huo wa kujua asset ni any property hata kama ni useless property wahasibu huripoti kama Asset wajinga wakubwa ndio maana sio rahihisi kukuta managing director wa kampuni mhasibu ni wajinga fulani hivi
Kiuchumi Liability is any property that does not produce income wajinga wahasibu liability ni madeni unayodaiwa!!! Kwa wahasibu wajinga tena wenye CPA nyumba ya kulala na kuamka ni Asset!!!! Ina generate income gani ? Ndio maana mhasibu akitengeneza hesabu zake zinatakiwa zipelekwe kwa wachumi wanaojua kufanua analyisis
Wahasibu ni makarani tu wa financial data
Una akili ndefu sana mkuu, kuna ndugu zangu huwa nakosana nao sababu ya hii tabia ya kukusanya hela na kuzitupa ardhini kwa kigezo cha nyumba kwanza ilihal wahindi vizazi na vizazi wamepanga kariakoo na wana hela kuliko sisi wakimbilia majumbaHakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi hupanga hata miaka arobaini pesa zake akiweka na kukuza biashara yake. Wazo lake la kwanza huwa nikipata pesa natafuta nyumba ya bei rahisi ya kupanga halafu hela inayobaki naanzisha biashara. Wote mashahidi Wahindi matajiri hasa lakini maisha yote wanaishi nyumba za kupanga za National Housing. Sisi Waswahili tunashindana kujenga nyumba za kuishi za kulala na kuamka za mamilioni.
Waswahili hatushindani kwenye uwekezaji tunashindana kwenye nani kujenga nyumba kali kuliko mwingine! Hata waswahili wakiudhiana wakianza kutukanana isi mojawapo huwa kwani wewe una nini? Mimi Nina kwangu nimejenga nyumba za kuishi moja hapa mjini ingine kijijini
Nchi ziliizoendelea watu huwaza kuwekeza kwanza kama ndoto ya kwanza akipata pesa.
Hapa ndio siri ya umaskini wa waswahili ilipo.ndoto za kwanza ni kwenye vitu visivyozalisha pesa hasa nyumba ya kulala na kuamka.
Kwani mkuu kama una biashara, hip biashara so itaendelea kulea familia.Kama unanyumba ukfa familia itaanza kuyumba hela za matumizi.Jambo la kwanza duniani ni kula,kuvaa mwisho kulala.kwa nini tusijenge misingi ya uhakila wa kula kabla ya kulala.Kama hujala utahesabu kenchi mpaka asubuhi.Hata hao wahindi kwao wana nyumba wamejenga. Huwezi kuwa unaishi say Afrika Kusini ukafikiria kujenga huko. Utapanga na kufanya biashara au shughuli yoyote halali. Hii dhana ndio ipo kwa wahindi, hapa wahindi sio kwao. Kwa baadhi wenye fedha nyingi sana uwa wanajenga maeneo kama masaki, upanga n.k na wengi uwa wananunua apartment.
Halafu kujenga sio umasikini, kumiliki nyumba ni jambo bora sana katika maisha maana nyumba ni kitu ambacho kinakupa mengi sana ikiwepo kukupunguzia gharama za kodi, kukuondolea stress za kutokuwa na kwako na pia hata ukipata tatizo la kiuchumi unakuwa na pa kuanzia.
Nyumba ni kitu ambacho hata ukiondoka duniani ghafla familia yako inakuwa na sehemu ya kuanzia kuliko ukiwa huna nyumba.
Nyumba ni muhimu katika ukuaji wa miji na Taifa kwa ujumla. Unavyoona nje yale majengo ni kwamba watu wamewekeza ndio maana kunapendeza. Na sisi tujenge majengo kukuza nchi yetu. Tuachane na wahindi wale hapa sio kwao ndio maana hawajengi. Tena si wahindi tu hata wazungu hawajengi hapa kwa kuwa si kwao hapa watachuma tu ila kujenga wataenda jenga kwao
Mkuu hata mm naamini anavyoamini huyu chief ila hakuna uhasibu unaofundisha hivyo.....hakuna mtaala unaotaja asset km mali inayogenerate income ila tu hyo ni applicable zaidi kwa wajasiriamali na nafikiri muasisi wa hii kitu ni Robert Kiyosaki ktk kitabu chake cha RICH DAD POOR DADMkuu hizi definition za asset na liability umenukuu kutoka conceptual framework gani ya uhasibu?
Exactly...mada ileweke hvyo wadau msitumie nguvu kubwa kama ww una 8ml jenga patapo kustir na inayobaki anza BiasharaInaanza kwanza shughuli itakayokuingizia kipato maana nyumba inajengwa kwa hela ambazo umeshachuma na zinaendelea kuingia. Hakikisha kabla hujafika 40 au watoto hawajaanza sekondari uwe na kwako otherwise itasumbua sana kufanikiwa
Jengo lisilo generate income ni liability sababu linakusubiri upate income sehemu zingine Litafune income yako pia gari ya kutembelea nyumba ya kulala na kuamka zote ni liability zinatafuna tu income toka other sources unapata ni wadai wako kwenye personal finance nyumba ya kulala na kuamka na gari ya kutembelea sio Asset!!! Don't just think of company financial reports prepare your own personal financial reports kukariri !!! Prepare your own personal financial reports !!! Sio unakomaa tu za kampuni jiongeze
SIO CONCEPT YA KIUHASIBU NI YA KIUCHUMIMkuu hizi definition za asset na liability umenukuu kutoka conceptual framework gani ya uhasibu?
According to accounting standard, ukiacha asset ya land na building, asset zingine kama magari, mashine n.k huwa zinashuka thamani, na standard inataka huku kushuka kwa thamani impact yake ionyeshwe kwenye balance ya asset.SIO CONCEPT YA KIUHASIBU NI YA KIUCHUMI
Mhasibu hata gari bovu liliolokuwa grounded kwenye vitabu vyake anaripoti kama ASSET!!!!!!!!!!