Actually, stori ya Aisha inaanzia at 6. Moja ya stori inayatumika kama rejea zaidi katika historia ya mwanadamu when it comes to gender and sexuality.Hii ilianza zamani sana soma Habari ya Aisha ambaye aliuzwa akiwa na miaka 9
Lakini Hilo chapisho ni la Pakistan Sasa western imengiaje? Kwaiyo wewe unaweza mruhusu mtoto wako wa miaka 6 aolewe?Western propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
Mkuu ndoa za utotoni zina ongozwa na Africa India ya pili pakistan afghanistani ya sita neenda google upate data "child marriage" kama utaiona Tanzania kua katika 10 bora. Acheni propaganda za Wazungu mue mnachuja taarifa zao.Acha kushabikia uharimia
Sasa Tanzania ndoa za utotoni si kinyume cha sheria kama ilivyo ukeketaji.Mkuu ndoa za utotoni zina ongozwa na Africa India ya pili pakistan afghanistani ya sita neenda google upate data "child marriage" kama utaiona Tanzania kua katika 10 bora. Acheni propaganda za Wazungu mue mnachuja taarifa zao.
Walioandika hapo ni PakistanWestern propagandist hamna ukweli wowote, hizo propaganda ndo zilichezewa Africa kwa mda mrefu ili kujustify misada yao, mbona hawaandiki kuhusu ushoga unao fanywa kwa watoto wadogo katika mafunzoni ya dini
Hata "honour killings" ni kawaida sana India na Pakistan.Mbon kawaida sana nenda India ukaone sio mada wagalatia πHuo ndio uchumi uliachwa na mabwana zenu wazungu na wameupandisha wana projects kibao zinakuja , moja wapo ni kilimo .
Kama ni ishu kubwa sana hayo BBC wamejaza kweny taarifa zao.
Taliban ndio imepandisha uchumi hayo ni matatizo ya mabwana zenu wazungu, kama ukisoma hapo wamesema sio sababu ya sharia na hali ya kiuchumu.Hata "honour killings" ni kawaida sana India na Pakistan.
Ni kweli huko India hutafutiwa mchumba akiwa mdogo ila sio kumuingilia akiwa na miaka 9 bro.C unaona upumbavu kama hu, wewe unafikiri kila mtu anafuata utamadini wenu wa kimakonde, India mpaka leo huo utamaduni wanao mtoto kutafutiwa mchumba angali mdogo ila mahusiano huja badaye akikua sasa nyie hufikiri kwa mihemuko na chuki zenu.
Mbon kawaida sana nenda India ukaone sio mada wagalatia πHuo ndio uchumi uliachwa na mabwana zenu wazungu na wameupandisha wana projects kibao zinakuja , moja wapo ni kilimo .
Kama ni ishu kubwa sana hayo BBC wamejaza kweny taarifa zao.
Mla nguruwe unapata tabu
Ha ha ha! Time is irreversible! Hata wahenga walijua hii kitu - WAKATI, UKUTA.
Mzee tulia ule Mbaazi Magari utayaacha hauendi nayo kuleDuh! Umaskini mbaya sana aisee! Tununueni magari tu.
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.
Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.
Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisajl chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505
Jana niliona taarifa fulani ya uchunguzi, ipo youtube. Jinsi Arabuni, especially Kuwait wanavyouza wadada wa kazi kama bidhaa kwenye website za e_commerce.Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza watoto wao wa kike kwa wanaume matajiri na wanaowadai.
Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.
Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini.
View attachment 2990505
Mzee tulia ule Mbaazi Magari utayaacha hauendi nayo kule
Kula Mbaazi baba kula Mbaazi Magari soon utaanza kuyakataa mwenyewe maana hata kunyosha Mguu kukanyaga clutch hautaweza tenaπ
Kula Mbaazi baba kula Mbaazi Magari soon utaanza kuyakataa mwenyewe maana hata kunyosha Mguu kukanyaga clutch hautaweza tena
Kula Mbaazi wewe hilo Gari kuna Muda utafika hata kupiga HONI ni MTIHANIπππakili za jf bn
Aisee jamaa ulitabiri jambo nimepost jambo langu hapo juu then baada ya muda ndio naiona comment yako ikitabiri jambo hilo nililolipostNaona umeandika utumbo wa hali ya juu Shehe wangu. Umewahi kujitetea kihovyo ukihisi muda si mrefu wadau wakiamka wataleta ushindani wa kidini na kurefer Muddy(57) na bi. Aisha(6) then kuanza kumuingilia akiwa na miaka 9. Subiri, vita vinakuja kwenye huu uzi kuanzia saa 1 asubuhi hii.