Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

Mbona unauliza swali la kijinga!?
Je kumnunua mwanamke kingono ni sawa na kumuoa!?
Huyo ameposwa au kauzwa!?
Huna akili kabisa.
"Katika biashara hii katili wazee wa hadi miaka 70 wananua watoto wa kike wa hadi miaka sita kwa minajili ya kuwatumia kama wake zao.

Tofauti na nchi nyingi huko Afghanistan hii biashara ni halali kabisa chini ya Utawala wa Taliban!
Watoto wanaonunuliwa wanakuwa katika hali za kusikitisha sana wakilia kwa uchungu mkubwa kuchukuliwa na wanaume watu wazima wasiowafahamu au kujua wanaenda kuwafanyia nini."; mwisho wa kunukuu.

Muktadha wa hiyo nukuu ni nini?
 
Namim nahitaji mtoto wa afiganstan kununua nimependa kautaratibu kao nikishamnunua na mbadilisha dini namrudisha mikononi mwa bwana yesu haleluya tuchangamke tuwanunue ili tuwahubirie injili
 
Naona unazunguka palepale.
Aisee kweli uelewa jambo muhimu.
Kumuuza mwanamke awe binti awe mkubwa hiyo ni sawa na human trafficking.
Kinachofanyika Afghanistan ni sawa na kinachofanyika Slovenia na Slovakia,hizo nchi mbili uuzaji wa wanawake kwaajili ya ngono ni mkubwa tena wengine wanatekwa kabisa.
Isipokua tofauti Slovenia na Slovakia wanakemea yani hiki kitu ni illegal kwao ila kwa Afghanistan wamechukulia ni kawaida ama halali.
Hivyo kumuuza mtoto sio sawa na kumuozesha.
Ndoa lazima kuwe na utaratibu na maridhiano ya kiheshima.
NILICHOKUA NAPINGA NI HUYO EVILSPIRIT KUFANANISHA MATUKIO YA AFGHANISTAN NA SUALA LA HISTORIA YA MTUME.
Hicho ndicho nachopinga.

Uwe na mchana mwema kama hujaelewa shauri yako.
 
Namim nahitaji mtoto wa afiganstan kununua nimependa kautaratibu kao nikishamnunua na mbadilisha dini namrudisha mikononi mwa bwana yesu haleluya tuchangamke tuwanunue ili tuwahubirie injili
Mmmh kaka utakuja kuuawa bure.
Afghanistan ni wafia dini,ukienda mkristo usalama wako hatiani.
 
Hapo sasa umefunguka; kilichokuudhi ni Mtume kuingizwa kwenye hayo mambo otherwise huna tatizo. But mind you serikali halali ya Taliban wamebariki hayo mambo na sheria za nchi zinaruhusu which means kwa tafsiri ya sheria zao hizo ni ndoa!
 
Bado unaongea usenge!?
Huyo mpuuzi mwenzako kauliza swali la kipuuzi kama yeye alivyo mpuuzi.
Kuuzwa pasi na ridhaa na kuolewa vinafanana!?
Au kwenu mtu akiolewa sawa na kuuza!??
PUNGUWANI WAHED WEWE.
Mpuuzi ni nani sasa yeye au wewe kenge unaeulizwa swali unajibu na matusi Mrs Mudi
 
Hapo sasa umefunguka; kilichokuudhi ni Mtume kuingizwa kwenye hayo mambo otherwise huna tatizo. But mind you serikali halali ya Taliban wamebariki hayo mambo na sheria za nchi zinaruhusu which means kwa tafsiri ya sheria zao hizo ni ndoa!
Hiyo sio ndoa bali biashara ya human trafficking imehalalishwa.
Usichanganye hivyo vitu aise.
Kwasababu watoto huuzwa tu directly pesa hutolewa na watoto kuuzwa it means that is human trafficking na hairuhusiwi haijalishi Taliban wameruhusu.
Hakuna ndoa ya kumuuza mtu aisee.
Nasisitiza hiyo ni biashara haramu tu imehalalishwa neno sahihi ni legalization of human trafficking.
 
s
tress tupu
 
mimi naenda kuchukua kigori wangu mrembo namkuza mwenyewe. mashankupe ya ukimani siyawezi
 
Kuna utofauti hapo ndugu soma vizuri mada.
Hao mabinti wanaoolewa bongo kwa wazee wanaolewa kwa hiari yao na kwa hesabu zao wenyewe yaani wanajiongeza wenyewe kumpata mzee mwenye hela ili aishi maisha ya kifahari tofautisha na hap aliowataja mtoa mada kwamba wanapelekwa kinguvu bila kujua wanakwenda kufanya nini,kwa kifupi wanatumika kama dhamana/bond na kwa umri alioutaja mtoa mada hapo hiyo ni sawa na ubakaji
 
unachosema ni kweli. na si huko tu pia nepal na bangladesh hali ni mbaya. ninafanya nao kazi wananieleza. kuna mengi yanaendelea licha ya dini kukemea.
 
Hapo uongo uko wapi sasa, kwa nini watu inapofika swala la dini mnapenda sana kujitoa ufahamu na kujiona mwarabu huku ukiikana asili yako.

Hili tatizo la kuhusudu tamaduni za kigeni liko kwa waafrika tu dunia nzima na ndio maana naamini kwa asilimia mia moja kwamba wale wanaosema kwamba jamii ya watu weusi ndio wenye IQ RATING ndogo sana duniani ni wakweli kwa asilimia mia moja.

Hakuna mtu bogus kama mtu mweusi, yeye siku zote ni kusujudia tamaduni za kigeni tu. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…