Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Uzuri wa ajira ni security tu basi ila hata dereva bajaji akiwa na juhudi na nidham ya fedha anamuacha mbali sana muajiriwa.Sometimes ni kweli,ukiwa kitaa upo huru ni nguvu zako tu unaweza piga mpaka 50,000 kwa siku
Ingawaje watumishi wana uhakika wa maisha iwe mvua iwe jua
Na kabima uchwara nako kanawabeba
Ukitaka ujichimbie kaburi lako kwenye ajiriwa kwa mshahara mdogo alafu usijiongeze kutafuta kipato nje ya mshahara, utakufa masikini huku ukiishia kuvaa nguo zilizonyooshwa.
Wenye maduka ya mangi wanawajua vizuri sana.