Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Kwa Hiyo Unataka Kusema Wale Ambao Hawajabahatika Kuwa Katika/Kuajiriwa Sekta Tofauti Tofauti Za Umma Katika Utumishi Wa Kiserikali Ni Ya Kwamba
1.Hawalipi Kodi
2.Hawalipi Nauli
3.Wamejenga Wote,,Hawana Mikopo n.k??
 
Watumishi wa Umma wa kada ipi brother? Sema hawa walio Chini ya TAMISEMI
 
Mabenk ndio chanzo cha watumishi wengi kuwa masikini wanakopa wakiamini wataongeza kipato baada ya kukopa nao wanapigwa na ndugu zao kwa sababu hawana muda wa kusimamia biashara zao.
So kama ilikuwa ngumu kuishi kwa laki nane kwa mwezi atawezaje kuishi kwa laki nne kwa mwezi? Baada ya makato ya bank
 
Ww uko wizarani unakula maisha
Wizara ya maji sometimes yes sometimes no.. client eti mkubwa ni ruwasa ambaye kwa mwaka huu na yeye analia njaa km tanroad...program iliyotuwek mjini kdg ni ya visima vya mama kila Jimbo je isingekuepo hali ingekuaje
 
Elimu ya fedha inahitajika sana. Kweli ajira inanyima uhuru lakini hata ukiwa kwenye ajira kwa kipato hichohicho unaweza mudu gharama za maisha ikiwa una elimu na maarifa sahihi.

Hatuwezi wote tukafanya biashara lakini pia hatuwezi wote tukaajiriwa.
 
Back
Top Bottom