Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
Ni kweli kwa kiasi kikubwa. Ingawa pia inategemea uko sehemu gani. Lakini kama basic salalry yako haizidi 1.5 M kabla ya makato, kuna uwezekano mkubwa ukaishi maisha ya kujinyima sana ili mambo yaende hasa kama una mke na watoto.
Mtaani pia kuna changamoto zake. Lakini kama utaweza kukaza vizuri, inawezekana ina the long run ukatoboa mtaani kuliko kwenda kusettle kwa take home ya 500k.
Mtaani pia kuna changamoto zake. Lakini kama utaweza kukaza vizuri, inawezekana ina the long run ukatoboa mtaani kuliko kwenda kusettle kwa take home ya 500k.