Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Uzuri wa ajira ni security tu basi ila hata dereva bajaji akiwa na juhudi na nidham ya fedha anamuacha mbali sana muajiriwa.Sometimes ni kweli,ukiwa kitaa upo huru ni nguvu zako tu unaweza piga mpaka 50,000 kwa siku
Ingawaje watumishi wana uhakika wa maisha iwe mvua iwe jua
Na kabima uchwara nako kanawabeba
Serikalini sema mikopo isiyo na tija maana unachukua mkopo kununua kiwanja au kujenga na sio kuanzisha biashara huu ndio umasikini wenyewe.Huyo nesi yupo kwenye dispensary za watu?
We ni zombie kweli, wivu tu unakusumbua baada ya kutokuwa na sifa ya kupata hizo nafasi. Kaa na ujinga wako km ulivyouchagua.Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa
Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
🙏🙏🙏
Nawe unaingia kwenye mitego ya wapumbavu? Kwanza ijulikane kila kazi lazima iwe na wa kuifanya, huyu ana stress ya kukosa hizo nafasi, pilipili usisozila za kuwashia nini? Awashauri saidia fundi na wazibua vyoo. Na wapakia taka je? Huo anaumwa ni wa kupuuzwaSometimes ni kweli,ukiwa kitaa upo huru ni nguvu zako tu unaweza piga mpaka 50,000 kwa siku
Ingawaje watumishi wana uhakika wa maisha iwe mvua iwe jua
Na kabima uchwara nako kanawabeba
Mkuu hata sisi tulioko huku mtaani vidole havilingani, kuna muda naona bora hata hao wanaopokea hiyo mishahara midogo na kuokoteza posho za hapa na pale
Excellent....Mkuu hata sisi tulioko huku mtaani vidole havilingani, kuna muda naona bora hata hao wanaopokea hiyo mishahara midogo na kuokoteza posho za hapa na pale
Kwani kitaa mko nyie jobless pekee, mtumishi anapiga kotekote, ana mshahara na kitaa anapambana, na anaajri pia, waajiriwa ni Omnipresent (wanapiga kotekote)😆Ukichukua idadi ya watumishi na watu wa kitaa,ipi idadi kubwa wanaoingiza 50,000 kwa siku
Kwangu mimi nitakuambia watu wa kitaa ni wengi sana wanaoingiza hyo hela ukilinganisha na watumishi
Umeliwaka sawa watumishi wengi ndo wanao leta poverty katika mjini hali yao sio nzuri japo wanawwza kuficha umasikini wao mifuano ni mkngi sanaa.Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa
Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
[emoji120][emoji120][emoji120]
Ni kweli mkuuMkuu hata sisi tulioko huku mtaani vidole havilingani, kuna muda naona bora hata hao wanaopokea hiyo mishahara midogo na kuokoteza posho za hapa na pale