Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Kama unadhani elimu ni ghali …. Jaribu ujinga

HUU NDIO UJINGA WENYEWE
 
Sina experience kuhusu ajira serikalini lakini nina uzoefu kwenye ajira za sector binafsi

Kwakweli kuona mafanikio halafu umeajiriwa basi lazima uwe na njia zingine za upigaji iwe halali au haramu
 
Yani asije akatokea mtumishi akajinadii Sasa unasain mkataba ngazi ya mshahara ni 500,000-700,000 nahaupo unambiwa unanza na hiyo mia tano utakapo zidi kukaa muda mrefu ndioutaongezewa kidogo kidogo mpaka kikomo iwe 700😭 lakin bado hujapiga hesabu ya makato .ukijaribu kufurukuta unambiwa tunakuunga sijui na pssf ambapo utakatwa Kila mshahara ukingia Sasa wewe umenipa kazi unanipangiaje ela yangu unakata unapeleka wapi mbona ?? Hela yenyewe ndio hyo ndogo mtu ataishije.

Alaf unakutana na mtuu anakuambia uwe mwadilifu kazini usiibe kwelii ?? Sijui acharushwa ??

Watumishi mnateseka sana
 
Wewe unaweza vaa vizuri Kwa mamikopo?
 
Unasema kweli mkuu,ndo maana rushwa zimetawala sana kwao,utasikia hata kukutafutia faili lako mahala fulani ,anakwambia vpi hela ya soda ipo??,.watu hawana ubunifu kabisa wakujijenga na kufikiri vyema,kutwa nzima ni hali hizo tu,kukimbizana na hongo kadhaa,hakuna customer care at all!!!,hadi unyooshe mkono.
Huwa mwaona hata wanaostaafu uchoka haraka huku mitaani,maana hawakuzoea mazingira hayo,.hawawezi kujitegemea totally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…