Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Ni kweli kwa kiasi kikubwa. Ingawa pia inategemea uko sehemu gani. Lakini kama basic salalry yako haizidi 1.5 M kabla ya makato, kuna uwezekano mkubwa ukaishi maisha ya kujinyima sana ili mambo yaende hasa kama una mke na watoto.

Mtaani pia kuna changamoto zake. Lakini kama utaweza kukaza vizuri, inawezekana ina the long run ukatoboa mtaani kuliko kwenda kusettle kwa take home ya 500k.​
 
Ila watu mnachekesha .
 
Inategemeana na mtu sii kila mtu anaweza kupambana na kitaa akatoboa.
Mm nilikuwa kitaa nimepauka but baada ya kupata kazi nuru imeanza kurudi mtaani ni pamoto
 
Kabla sijaajiriwa nikuwa huko kitaa mbona sikuona hayo maisha mazuri,na mbona hao niliowaacha huko kitaa wqnatamani ajira. Nikweli mtu anaweza kupata hiyo 50k kwa siku lakini Kuna wakati anakaa hata wiki hajaaingiza pesa .serikalini Kuna madaraja ukiwa mvumilivu Kuna utapata mshahara mkubwa tu in a long run,shida yetu tunataka kuajiriwa Leo,tununue gari Leo,tule bata Leo tunenge leo.hakuna maisha ya hivyo
 
Mbona mnatukatisha Tamaa tena Sisi wazunguka na bahasha
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mh mjumbe kumbe wewe ni msiri hivi[emoji1]
 
Daaah hii inakatisha tamaa
 
Huku kitaa tunapambna na Hali zote ngumu
Sometimes ni kweli,ukiwa kitaa upo huru ni nguvu zako tu unaweza piga mpaka 50,000 kwa siku

Ingawaje watumishi wana uhakika wa maisha iwe mvua iwe jua

Na kabima uchwara nako kanawabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…