Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa
Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
🙏🙏🙏