Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Umaskini ndani ya utumishi wa umma

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa

Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
🙏🙏🙏
 
Huu ni ukweli mchungu Sana Ila wavivu wataukataa.

Ukweli ni kwamba hakuna Uhuru wa kipato serikalini labda uwe jambazi, mwizi na Fisadi!

Ila kwenye middle class na low class job hakuna maisha ni stress Kuna nesi namjua ana diploma anapeleka home 210k per month ni single Mather ananuka shida na madeni ni kukopakopa tu uku na kule!.

Ajira ni Siri kubwa Sana na ni mipango ya mabepari kuendelea kuwa matajiri wao!!

Imagine doctor mwenye mshahara wa 1.5 million anaenda home na 800k kila mwezi akichukua mkopo ataenda na 500k huu ni ujinga na utoto kwa mtu ambaye anatakiwa kuwa vizuri mentally ili atibu wangonjwa ila unakuta yeye ndiye anaumwa!!

Ajira ni utumwa Kama wewe ni mtu mwadilifu.
 
Huu ni ukweli mchungu Sana Ila wavivu wataukataa

Ukweli ni kwamba hakuna Uhuru wa kipato serikalini labda uwe jambazi mwizi na Fisadi

Ila kwenye middle class na low class job hakuna maisha ni stress Kuna nesi namjua ana diploma anapeleka home 210k per month ni single Mather ananuka shida na madeni

Ajira ni Siri kubwa Sana na ni mipango ya mabepari kuendelea kuwa matajiri wao!!

Imagine doctor mwenye mshahara wa 1.5 million anaenda home na 800k kila mwezi akichukua mkopo ataenda na 500k huu ni ujinga na utoto kwa mtu ambaye anatakiwa kuwa vizuri mentally ili atibu wangonjwa Ila unakuta yeye ndiye anaumwa!!

Ajira ni utumwa Kama wewe ni mtuwadilifu!!!
Huyo nesi yupo kwenye dispensary za watu?
 
Habari Wana JF
Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu wakufikiri,wanajutia kupoteza muda wakusoma, wamebakiza mdaa mchache wakuchanganyikiwa tuu .
Huwez niambia mtumishi wa umma unamlipa laki tano nabado anamakato kibao huyumtuu anaishije hatakama Hana familia anaishije.
-hajalipa kodi
-hajatoa nauli
-Hajala
-Hajavaa

Vijana pambaneni msijisumbue na ajira hamna maisha yeyote nistress tuu huyu mtumishi unaemuona mtaani ukicalculate mshahara wake per day ikizidi sana anapata 13000-14000 usimuone anavaa vizuri nimikopo ndioinambeba
Pambaneni na vijiwe vya chips mtatoboa,endesha hata toyo utatoboa serikalini unapewa tuu ela yakula basi.
Usipo jituma utatumiwa
🙏🙏🙏
Njoo uangalie wakulima wa jembe la Mkono Hapa Kilwa ndio utaheshimu watumishi wa umma.

Wallimu wana maisha mazuri sana.
 
Back
Top Bottom