Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

Sijui tunaelekea wap..sio Dar sio vijijini siku hiz kuna 90% ya wadada kuanzia miaka 20 Wana watoto
 
Umelala kwenye kochi hapo nyumbani, umasikini utakutokaje? Umasikini wa nchi unaanza na umasikini wa mtu mmoja mmoja.

Amka kafanye kazi
 
Tatizo la Tanzania ni mfumo mbovu uliletwa na CCM kuamini Rais pekee ndiyo ana akili timamu mawazo yake ni sahihi muda wote
 
Unaambiwa nchi maskini lakini hapo hapo msafara wa mtawala ni magari zaidi ya 100 V8 nje na posho, mafuta, walinzi, wapambe na wengine huku anaenda kufungua jengo la milioni 400 na wakati gharama zilizotumika ni zaidi ya milioni 800
 
Chumvi ya mawe na uharo, sasa hivi Mabinti wetu wa Kiafrika wako Dubai wananyewa mdomoni na matajiri wa Ghuba na kupewa Dola😤
Tungekuwa na uwezo wa maamuzi ni bora tungenunua uongozi toka nje hata kama tutawalipa mishahara mikubwa lakini bora tufike kuliko wanasiasa hawa ambao kwao uongozi ni ajira binafsi na sio wito.
 
Viongozi ndio watu wa kwanza kabisa kulaumiwa katika hili, Kila kitu wanacho mikononi mwao lakini daima wamechagua kujinufaisha wao kuliko nchi
ndio maana unashangaa pamoja na madini yote tuliyonayo na rasilimali zingine zote tulizo nazo kabla hata uhuru zimeshindwa kutu nufaisha kwa usahihi,
eti hadi Leo bado kuna mahali hapa nchini kuna ndugu zetu bado wanatumia maji ya vidimbwi ambayo yalipaswa kutumiwa na wanyama
Bado kuna maeneo wanatembea kilomita za kutosha kwenda shule na zahanati
Nakubali kwamba serikali imejitahidi kufanya mambo mengi mazuri lakini walipaswa kufanya zaidi kutokana na utitiri wa rasimali tulizo nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…