Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.

Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.

Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.

Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.

Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Sijui tunaelekea wap..sio Dar sio vijijini siku hiz kuna 90% ya wadada kuanzia miaka 20 Wana watoto
 
Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.

Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.

Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?

Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.

Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.

Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia

Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?

Tusaidiane shida iko wap karibun
Umelala kwenye kochi hapo nyumbani, umasikini utakutokaje? Umasikini wa nchi unaanza na umasikini wa mtu mmoja mmoja.

Amka kafanye kazi
 
Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.

Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.

Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?

Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.

Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.

Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia

Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?

Tusaidiane shida iko wap karibun
Tatizo la Tanzania ni mfumo mbovu uliletwa na CCM kuamini Rais pekee ndiyo ana akili timamu mawazo yake ni sahihi muda wote
 
UMASIKINI wa NCHI hii unatokana na Serikali ya
Ccm na Viongozi wake
Tanzania Neno umasikini na Masikini hawataisha wala Kupungua kutokana na Aina ya Viongozi tulionao
Kitu pekee kinachoweza kuondoa au KUPUNGUZA Umasikni ni pamoja na KATIBA MPYA itakayoweza kuwadhibiti Viongozi wa Ccm Na Serikali kutumia vibaya Raslimali na Fedha za Serikali ambazo ni KODI za Hao Masikini wa Nchi hii Bila Katiba Mpya Umasikini utaendelea Milele na Milele.
Unaambiwa nchi maskini lakini hapo hapo msafara wa mtawala ni magari zaidi ya 100 V8 nje na posho, mafuta, walinzi, wapambe na wengine huku anaenda kufungua jengo la milioni 400 na wakati gharama zilizotumika ni zaidi ya milioni 800
 
Chumvi ya mawe na uharo, sasa hivi Mabinti wetu wa Kiafrika wako Dubai wananyewa mdomoni na matajiri wa Ghuba na kupewa Dola😤
Tungekuwa na uwezo wa maamuzi ni bora tungenunua uongozi toka nje hata kama tutawalipa mishahara mikubwa lakini bora tufike kuliko wanasiasa hawa ambao kwao uongozi ni ajira binafsi na sio wito.
 
Viongozi ndio watu wa kwanza kabisa kulaumiwa katika hili, Kila kitu wanacho mikononi mwao lakini daima wamechagua kujinufaisha wao kuliko nchi
ndio maana unashangaa pamoja na madini yote tuliyonayo na rasilimali zingine zote tulizo nazo kabla hata uhuru zimeshindwa kutu nufaisha kwa usahihi,
eti hadi Leo bado kuna mahali hapa nchini kuna ndugu zetu bado wanatumia maji ya vidimbwi ambayo yalipaswa kutumiwa na wanyama
Bado kuna maeneo wanatembea kilomita za kutosha kwenda shule na zahanati
Nakubali kwamba serikali imejitahidi kufanya mambo mengi mazuri lakini walipaswa kufanya zaidi kutokana na utitiri wa rasimali tulizo nazo
 
Back
Top Bottom