Umaskin wetu umeletwa na maccm kwa kiwango kikubwa.Umaskini upi na mabilioni yanaibiwa kila kona na wajinga wachache ambao tumeaminishwa ni mawaziri [emoji23][emoji23][emoji23]!
Siku ambayo tutahakikisha V8 haziendesheki na nyumbani kwa hao madhalimu hakukaliki ndo siku ambayo tutaheshimiana vizuri.
NI CCMWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
kiongozi gani tajiri hapa Tanzania? ntajie mmoja tu! wote ni makapukuMimi naona viongozi hasa ndo wanatuangusha!
Haiwezekani kila kiongozi ni tajiri!
Hiyo hoja yako ni mfu na ukweli umetonyesha Sehemu iliyo na idadi kubwa ya watu ndiyo iliyoendelea mfano Kanda ya Ziwa,Kaskazini na Mashariki.Vile vile nchi zenye raia wengi ndizo zilizoendelea mfano:Marekani,China,India,Brazil,England,Misri,Afrika ya Kusini,Nigeria na Kenya.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Hiyo ndiyo point ya mwaka na ni jibu ambalo linajibu hoja ya mtoa mada.Wapigania UHURU afrika walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote.Bora ya wakoloni
Ni mwehu na mvivu wa kufikiri,hakuna Mkoa wenye mapori kama Tabora,huo ni upumbavu anatakiwa afungwe.
Magufuri na Makondakiongozi gani tajiri hapa Tanzania? ntajie mmoja tu! wote ni makapuku
Wasichokijua mapependekezo ya IMF, WB na Washington Consensus yamesababisha nchi nyingi zinazoendelea kukwama mpaka leo tangu economic liberalization iliyofanyika miaka 1980s, tumekuwa tegemezi zaidi.Kwa sababu western wameandika hivyo basi nawe unaona ni kweli.western walipoanzisha mfumo wa kibepari ilikuwa ni lazima wauponde mfumo wa ujamaa ili kuhakikisha mfumo huo unasambaa duniani,lakini sio kweli kwamba ndio chanzo cha umaskini.
Haya viwanda vyote tulivyokuwa navyo wakati wa ujamaa-vimepelekwa wapi ulipoanza ubepari??
Nirshisi kusema kwakuwa kizazi hiki hakuna alie vaa kaniki au kutoa funza kwakukosa viatu ila hili Taifa limetoka mbali sanaWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
Kwa sababu western wameandika hivyo basi nawe unaona ni kweli.western walipoanzisha mfumo wa kibepari ilikuwa ni lazima wauponde mfumo wa ujamaa ili kuhakikisha mfumo huo unasambaa duniani,lakini sio kweli kwamba ndio chanzo cha umaskini.
Haya viwanda vyote tulivyokuwa navyo wakati wa ujamaa-vimepelekwa wapi ulipoanza ubepari??
NoLakini Rais Samia amekuja kuleta mapinduzi ya maendeleo mpaka vijijini miundombinu imeboleshwa maji mpaka vijijini umeme unapatikana mpaka vijijini kwaiyo tutegee makubwa zaidi
Safi Sana tunataka hoja Kama hizi yenye mashikoWasichokijua mapependekezo ya IMF, WB na Washington Consensus yamesababisha nchi nyingi zinazoendelea kukwama mpaka leo tangu economic liberalization iliyofanyika miaka 1980s, tumekuwa tegemezi zaidi.
China walifanya mageuzi ya kiuchumi lakini WALIKUWA hawataki kabisa kufuata ushauri wa IMF na WB
Thailand iliwalazimu kuachana na mapendekezo ya IMF baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya mwaka 1997 kwenye financial crisis ya asia
Wakati Korea Kusini ikiwa masikini kama sisi miaka 1960s, waliomba mkopo World Bank kwa ajili ya kuunda kiwanda cha chuma, WB ikagoma ikasema nchi maskini kama korea kusini haina uwezo wa kuendesha mradi huo huku wakionyesha nchi zilizo feli kama Brazil wakati huo kwenye chuma
Jamaa wakapata msaada wa pesa kutoka Japan kama faini ya unyanyasaji kipindi cha ukoroni, hela yote ikapelekwa kutengeneza kiwanda cha chuma kinaitwa POSCO, leo hii POSCO ni kiwanda cha sita duniani kwa uzalishaji wa chuma duniani na mpaka miaka ya 80 kiwanda kilianza kutengeneza faida kubwa
Korea Kusini na Taiwan hazikufuata ubepari kama vile inavyoelezewa na USA.
Walikuwa wanachanganya sera za kijamaa na kibepari, ndio maana asia utakuta viwanda vinavyomilikiwa na serikali pia
Na hapo hujalundikiwa na watoto wa ndugu wafyatuaji na wale waliobaki yatima......lazima ukae.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe.
Unapozaa watoto watatu au wa nne, kama gharama za kulea mtoto mmoja ni wastani wa Tsh mil 2 kwa mwaka; kwa miaka 30 huyo mtoto atakugharimu milioni 60.
Mchina mwenye mtoto mmoja atagharimika milioni 60, kulea.
Mzungu mwenye watoto wawili atagharimika mil 120 kulea.
Mbongo mwenye watoto watatu atagarimika mil 180 kulea
Na Mtz mwenye watoto wanne atagharimika mil 240 kulea.
Kwa hiyo, sio kwamba wachina na wazungu wametuzidi utajiri, No! Wanapata unafuu wa maisha hivyo kuokoa pesa nyingi kwa kujenga familia ndogo ndio maana wanaweza kununua magari mazuri na hata kufanya utalii.
Afrika itaweza kuondokana na umaskini endapo tu, familia zitajikita kwenye kuzaa mtoto mmoja hadi wawili.
Tofauti na hapo, wazazi wengi wenye watoto wengi watakufa masikini kwa kuwa fedha zao nyingi zimeenda kwenye kulea familia.
Hao viongozi wanatoka mbinguni? Ni sehemu ya jamii yetu hiyo hiyo,hatuna akili.Wa kulaumiwa ni sisi wenyewe wananchi kwa uzombi wetu. Hivyo hata viongozi wetu ni......?
Viongozi wanazaliwa na kukuzwa kwenye jamii yetu hii hii,so sio swala la viongozi bali ni swala la jamii yote.Tusipobadili mentality yetu hasa viongozi hatutoki kwenye umaskini kwa sababu ulaya na marekani tumewafanya watu wenye msaada hasa kwenye elimu wakati wanatuzika