MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
atalipwa elfu 7 mara 10 kwa kujilipuaChadema kama maji usipo yanywa utayaoga au kuyanawa hasa wakati huu wa Corona virus. Kilicho nichekesha tu ni kwamba kwenye huu uzi lumumba fc mmoja pekee ndio kaamua kupotea njia mkuu misasa ndio tuko nae mwazo mwisho kaamua kujifunga mabom kiunoni
Tumo nae humu na hajui achomokee wapi hahahalumumba fc mmoja pekee ndio kaamua kupotea njia mkuu misasa ndio tuko nae mwazo mwisho kaamua kujifunga mabom kiunon
Nani ambaye atatangaza matokeo?Huu ni mwaka wa kuzoa viti Watanzania wamechoshwa na huu utawala wa kiimla
Kwa chadema kutia nia si tatizo,muhimu ni vigezo na masharti vimefuatwa?Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
Uko sahihi sana kuhusu hatua Moja.Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Hamna tahadhari tunachukua kama watu wanaendeleza mikusanyiko. Kifo kipo lakini kifo cha kizembe, hapana. Kaburini hamna siasa, chadema,ccm, magufuli wala mbowe. Corona ingekuwa haiambukiziki kwa haraka ningesema shauri yenu lakini lazima nikomae na nyie kabla hamjatua na ujinga wenu.Kwann unaogopa kifo ambacho hata usipokiogopa kipo tu.Taadhari tunachukua na maisha hayasimami pia.
Mpumbavu mkubwa Kama wewe epuka kuchangia ili kuficha upumbavu wakoNiambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?
Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
hizo lugha za kishamba tumezizoea sanaKwa chadema kutia nia si tatizo,muhimu ni vigezo na masharti vimefuatwa?
Je mgombea ana historia ya kufanya fujo na kulala mahabusu?
Je mgombea anao uwezo wa kutukana?
Kama ni mgonbea wa kike je yupo tayari kutoa milioni au aliwe na sultani kwanza
Tatizo viongozi sijui huwa wanaingiwa na Nini,dakika za Majeruhi utakuta wamewachukua Akina NapeMsikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Kuna tuhumu ziliwasilishwa kwenye kamati kuu na.muheshimiwa sugu pamoja.na muheshimiwa.Msigwa,kwamba NKMSalumu Mwalimu.anauza viti maalumu kwa milioni 20,wewe kama mkuu mpya wa propaganda hulisemi hilohizo lugha za kishamba tumezizoea sana
Huna hoja mkuuKuna tuhumu ziliwasilishwa kwenye kamati kuu na.muheshimiwa sugu pamoja.na muheshimiwa.Msigwa,kwamba NKMSalumu Mwalimu.anauza viti maalumu kwa milioni 20,wewe kama mkuu mpya wa propaganda hulisemi hilo
Salumu.Mwalimu.amezaa.na.Esther Matiko watoto watatu sasa,na wamekutana chadema,yote unasema.umeyazoea
Hii huwezi kujibu malafyaleHuna hoja mkuu
Kwa hiyo unabishia kiuno?Mmh!
Camilius na Edo walitangaza nia walishinda?
unaufahamu uhusiano wa Msekwa na Anna Abdallah au Salim na Makinda ? ndio maana nikakuambia huna hoja , tukianza kuingia huko unakotaka twende utakimbia kwa aibuHii huwezi kujibu malafyale
Hebu andika vizuri kwa kufuata taratibu za uandishi mwanacccm hopeless weye!Kuna tuhumu ziliwasilishwa kwenye kamati kuu na.muheshimiwa sugu pamoja.na muheshimiwa.Msigwa,kwamba NKMSalumu Mwalimu.anauza viti maalumu kwa milioni 20,wewe kama mkuu mpya wa propaganda hulisemi hilo
Salumu.Mwalimu.amezaa.na.Esther Matiko watoto watatu sasa,na wamekutana chadema,yote unasema.umeyazoea
Mkuu tusaidie... go a mile further , weka majina na majimbo wanayogombea...Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.
Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
Endelea kubaki hapa hapa mkuu , majina baadhi yametoka na hasa ya wanaofahamika , list yote ninayo lakini naangalia namna nzuri ya kuwasilisha , majina ya majimbo na kata zote si kazi rahisi kuyarundika hapa , nitajitahidiMkuu tusaidie... go a mile further , weka majina na majimbo wanayogombea...
Basi niseme huwa hunisomi, au unanisoma bila kunielewa.Kalamu1,
Mkuu
Kutoka kupigia debe tufanye lockdown/curfew,sasa mmekuja na wimbo mpya mnahitaji stimulus package.
Stimulus package siwezi kukataa lakini ni mapema mno kujua tathmini za athari wa Corona katika biashara au viwanda.
Serikali sikivu ikifikia huko italetwa hiyo stimulus package mjichotee mapesa, si ndio mnavyotaka?
Mwisho mkuu Kalamu1 furaha yako rais akiwa lissu au Mbowe nahisi utaruka na kugalagala, sijawahi kuona unachangia mazuri ya serikali ya awamu ya tano,ina maana hii serikali inafanya mabaya tu?
Wewe umetokea wapi na ni kipi unachoandika hapa? Mbona hueleweki?Kalamu1,
Mawazo mlimuua