Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

Chadema kama maji usipo yanywa utayaoga au kuyanawa hasa wakati huu wa Corona virus. Kilicho nichekesha tu ni kwamba kwenye huu uzi lumumba fc mmoja pekee ndio kaamua kupotea njia mkuu misasa ndio tuko nae mwazo mwisho kaamua kujifunga mabom kiunoni
 
atalipwa elfu 7 mara 10 kwa kujilipua
 
Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?
Kwa chadema kutia nia si tatizo,muhimu ni vigezo na masharti vimefuatwa?
Je mgombea ana historia ya kufanya fujo na kulala mahabusu?
Je mgombea anao uwezo wa kutukana?
Kama ni mgonbea wa kike je yupo tayari kutoa milioni au aliwe na sultani kwanza
 
Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Uko sahihi sana kuhusu hatua Moja.

Hiyo lakini sikubali, kuwa tutapoteza muda na fedha, hapa tunapanda mbegu Mkuu, itaota tuu, kuhusu kudai Tume Huru, Hilo iwe Ni endless process.

Mwanzoni hapa watatia ngumu with time, kitaeleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann unaogopa kifo ambacho hata usipokiogopa kipo tu.Taadhari tunachukua na maisha hayasimami pia.
Hamna tahadhari tunachukua kama watu wanaendeleza mikusanyiko. Kifo kipo lakini kifo cha kizembe, hapana. Kaburini hamna siasa, chadema,ccm, magufuli wala mbowe. Corona ingekuwa haiambukiziki kwa haraka ningesema shauri yenu lakini lazima nikomae na nyie kabla hamjatua na ujinga wenu.
 
Niambie viwanda au biashara ngapi vimeathiriwa na hii so called pandemic?

Mbona mnapenda kukuza mambo? Maana huko USA kwenye cases nyingi sijasikia wakitangaza stimulus package. Nahisi utakuwa mpigaji unatafuta pesa za bure kwa kisingizio cha Corona, kumbuka JK alitoa stimulus package kipindi chake, zilinufaisha mini?
Mpumbavu mkubwa Kama wewe epuka kuchangia ili kuficha upumbavu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa chadema kutia nia si tatizo,muhimu ni vigezo na masharti vimefuatwa?
Je mgombea ana historia ya kufanya fujo na kulala mahabusu?
Je mgombea anao uwezo wa kutukana?
Kama ni mgonbea wa kike je yupo tayari kutoa milioni au aliwe na sultani kwanza
hizo lugha za kishamba tumezizoea sana
 
Msikosee tu mkabeba tena zile taka ngumu toka ccm za dakika ya majeruhi. Hiyo ni hatua namba moja, lakini hatua kubwa kabisa ni kudai tume huru ya uchaguzi, maana bila hiyo ni kupoteza muda na fedha.
Tatizo viongozi sijui huwa wanaingiwa na Nini,dakika za Majeruhi utakuta wamewachukua Akina Nape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo lugha za kishamba tumezizoea sana
Kuna tuhumu ziliwasilishwa kwenye kamati kuu na.muheshimiwa sugu pamoja.na muheshimiwa.Msigwa,kwamba NKMSalumu Mwalimu.anauza viti maalumu kwa milioni 20,wewe kama mkuu mpya wa propaganda hulisemi hilo
Salumu.Mwalimu.amezaa.na.Esther Matiko watoto watatu sasa,na wamekutana chadema,yote unasema.umeyazoea
 
Huna hoja mkuu
 
Hebu andika vizuri kwa kufuata taratibu za uandishi mwanacccm hopeless weye!
 
Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa nafasi kwa viongozi kuwafahamu kiundani Wagombea hawa kabla ya kuwapa nafasi za kugombea.

Nafasi zote za ubunge na udiwani kwenye majimbo na kata zote nchi nzima, hakuna mtia nia ambaye yuko peke yake, yako majimbo ambayo kuna watia nia ya ubunge kuanzia watatu hadi watano!

Kwa aina ya siasa za Tanzania za sasa Umati huu wa watia nia wa Chadema una maana gani?

# TUENDELEE KUNAWA MIKONO ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA .
Mkuu tusaidie... go a mile further , weka majina na majimbo wanayogombea...
 
Mkuu tusaidie... go a mile further , weka majina na majimbo wanayogombea...
Endelea kubaki hapa hapa mkuu , majina baadhi yametoka na hasa ya wanaofahamika , list yote ninayo lakini naangalia namna nzuri ya kuwasilisha , majina ya majimbo na kata zote si kazi rahisi kuyarundika hapa , nitajitahidi
 
Kalamu1,
Mkuu

Kutoka kupigia debe tufanye lockdown/curfew,sasa mmekuja na wimbo mpya mnahitaji stimulus package.

Stimulus package siwezi kukataa lakini ni mapema mno kujua tathmini za athari wa Corona katika biashara au viwanda.

Serikali sikivu ikifikia huko italetwa hiyo stimulus package mjichotee mapesa, si ndio mnavyotaka?

Mwisho mkuu Kalamu1 furaha yako rais akiwa lissu au Mbowe nahisi utaruka na kugalagala, sijawahi kuona unachangia mazuri ya serikali ya awamu ya tano,ina maana hii serikali inafanya mabaya tu?
Basi niseme huwa hunisomi, au unanisoma bila kunielewa.

Kuhusu hilo la Mbowe au Lissu; ngoja nikwambie ukweli wangu bila kumung'unya lolote. Magufuli asingefanya mambo ya ajabuajabu yasiyohusikana kabisa na utendaji wa serikali yake, nisingekuwa na shida juu yake. Yapo mazuri ninayopenda aliyofanya hata kama kayafanya kwa njia za hovyohovyo. Mfano mmoja ni kuhakikisha raslimali za nchi yetu zinatunufaisha waTanzania. Huu ni mfano mmoja na ipo mingine michache ninayoweza kukupa.

Lakini, anapofanya mambo ya hovyo, kama kusambaratisha mshikamano na umoja wetu kitaifa, hili ni zito zaidi na kufuta kabisa hata yale mazuri yoote anayofanya na roho yangu inamkataa kabisa. Na kama yale mazuri, yapo mengine mabaya zaidi ya mfano huo mmoja wa mabaya anayofanya.

Kwa hiyo, kwa ujumla wake, mimi binafsi ukiniambia leo nikapige kura kuchagua kati ya Magufuli, Mbowe, Lissu, hata kama hao wawili hawapo, nitachagua hata kama ni kivuli na kumwacha Magufuli.

Kuhusu "package" naona huna uelewa wa uchumi unavyokwenda. Ungekuwa na uelewa hata kidogo tu usingesema "ni mapema mno kujua athari za coronavirus."

Yaani hapo ulipo bado hujui uchumi utakavyoathiriwa na coronavirus, huku ukiona mahoteli yote yamefungwa na wafanyakazi wapo nyumbani?

Mfano huo peke yake hauwezi kukupa ufahamu wa jinsi mambo yatakavyokuwa magumu?
 
Back
Top Bottom