Umbali kati ya Misri na Israel ni KM 613, lakini wana wa Israel walisafiri kwa miaka 40

Haya ndo matatizo ya kung'ang'ana Yesu ni Mungu, tukiuliza kwa hiyo Mungu hana nywele za kipilipili kama mwafrika tunazomewa!
 
Mkuu lyinga umenikuna roho. Kweli wajukuu zetu watakaa na kujiuliza hivi kupata maendeleo lazima utimize miaka 50 ya mpito?
Ni kweli Israel na Misri siyo mbali kiasi hicho lakini wana teologia kuwa:
Kwanza, hawakujua ni wapi walikuwa wanakwenda. Musa aliwaambia kwamba wao walikuwa wakiongozwa na Mungu.
Mara baada ya wao kufika huko, waliamua kutuma wapelelezi kufanya utafiti wa nchi. Kati ya 10 ya wapelelezi kadhaa walisema kuwa Waisrael hawakuwa na uwezo wa kuchukua nchi;
Joshua na Kalebu waliwaambia kuwa lazima Waisrael waonyesha kiasi chochote cha imani katika Mungu. Kwa sababu ya uasi wao na ukosefu wa imani, Mungu aliwaambia kugeuka na kutanga tanga katika jangwa kwa miaka 40, mpaka hapo Yoshua na Kalebu walipokuwa wamekufa ndipo akawapa Musa awaongoze Musa.

Na wanateologia wengine wanasema kuwa Waisraeli walikuwa na uwezo kufanya safari katika siku kumi kwa kuzingatia lakini kulikuwepo na ucheleweshaji ili kuchukua njia ya mzunguko ili kuepuka kupigana vita na taifa la Wafilisti;
Ukisoma katika Kitabu cha Kutoka 13:17 unaambiwa kuwa wakati Faraoh alipowaachia Waisraeli kuondoka Misri Mungu akutaka wapitie njia fupi ya nchi ya Wafilisti kwa kuofia kuwa wangekumbana na Wafilisti na kubadili mawazo na kuamua kurudi Misri

Pia, Mungu alitaka kuwafundisha watu wake kuhusu yeye mwenyewe na sheria zake. Hii pia ilichukua muda. Lakini kama sababu zilizotajwa hapo juu, sababu kuu ya kuchelewa kwao ni kwa sababu walikuwa na mashaka ya nguvu za Mungu na wakawa waoga kuzifuata na kwa njia hiyo safari yao ikacheleweshwa

kwa nini walitanga tanga jangwani kwa miaka yote hiyo ni kwa sababu walikosa uaminifu kwa Mungu kwa hiyo akawapa adhabu ni mitihani mingi ya majaribu ili waweze kujua kuwa Yeye ndiye Yeye

 
Na kweli walikua wanasua sua kwa mjibu wa maandiko.
Hesabu 11:1=wana wa israel wakawa wanalalamika,mungu wao akawaka kwa hasira na kuanza kuwachoma moto.akawaua wengi kwa ajili ya kulalamika tu.
Hesabu 11:2=watu wakamlilia moses.ikabidi aingilie kati.mungu wao akaacha kuwachoma.
Hesabu11:11-15=moses akamwambia mungu,Kwanini unanifanyia hivi?kwanini unanitwisha mzigo mzito?kwani mi ni mwanamke aliebeba mimba akazaa taifa hili?.moses akaendelea kumsomea mungu,''NTAPATA WAPI NYAMA YA KUTOSHA KULISHA WATU WOTE HAWA?,I cant be responsible for the entire national,it is too hard for me,if you are going to do this to me,DO ME A FAVOR AND KILL ME''.

Hesabu11:20=mungu akawapa nyama na kuwambia wale mpaka waimalize.
Hesabu11:33-34=wakala mpaka wakavimbewa na kupasuka matumbo.
Wale waliobaki tena wakala mgomo dhidi ya moses na mungu wao.
Hesabu 14:2-23=wakamlalamikia aron na moses,''bora tungefia tu misri,kwanini mungu katuleta huku ili tuangamie kwa upanga.wake zetu na watoto watachukuliwa mateka,BORA TURUDI MISRI''.

God said,''how long will this national continour to provoke me?,I WILL KILL THEM.

Moses akajibu,''itakuaje wamisri wakisikia kwamba umeua watu hawa?,Yani unataka kuua taifa zima kama unaua mtu mmoja?.wamisri wakisikia watasema wewe mungu umeshindwa kutimiza ahadi yako na umewaua watu wako wote jangwani.Tafadhari mungu jitahidi uwe na subira na pia punguza hasira na uwe na moyo wa kusamehe.''
mungu akasema,''ntawasamehe,lakini hawa walionichokoza lazima wafe,hawataiona nchi ya ahadi''.

Hesabu14:26-35=God spoke to moses and aron.AM ANGRY,HOW LONG WILL THESE EVIL PEOPLE EXIST COMPLAINING AGAIST ME?.you will not get to the promised land,everyone over 20 years old IS GOING TO DIE IN THE DESERT.

Hesabu17:32-36=siku iliyofuata waisrael wakamlamikia tena moses na aron.Mungu akatokea na kumwambia moses.
NIPISHE NIWAMALIZE SASA HIVI,Akauwa 14700 hapo hapo.

Kisha akasema ,''kama hawaachi kulalamika,NTAWAMALIZA WOTE.''
NUMBER17:25-27=God said,''if their grumbling doesnt cease,THEY SHALL DIE'.

The israel cried out,''WE ARE PERISHING,WE ARE LOST,ARE WE TO PERISH TO THE LAST MAN?''.

Ooh,tumekwisha,tumepotea,ATATUMALIZA.

Number 21:5-9=the people spoke against God and moses.
God sent POISONOUS SNAKE agaisnt his people and they were bitten and died.
Mungu wao alipoona bado wanachonga,akawatumia nyoka zenye sumu zikawauma na wakafa kweli.
Moses akaona watakwisha kweli hawa watu,AKAINGILIA TENA.
Mungu akamwambia atengeeze sanamu ya nyoka aiwambe mtini na ili mtu apone sharti aitizame.
 
Dini tumeletewa. .ngoja nipite hiviii!!
 
Mkuu Biblia Na Quran si vitabu vya historia au sayansi Bali Ni vitabu vinavyosaidia kumjua Mungu,kujua jinsi ya kumtumikia nakuonyesha njia ya kufika kwake mbinguni(kwa argument zako najua utauliza hiyo mbingu Na huyo Mungu viko wapi kisayansi Na Ki historia). Mwisho wa siku imani kuhusu Mungu huwa Ni kwa wale walioamini Tu.Nimesoma History Nilikua napata mpaka alama90 kwa mia!,lakini mengi tuliyokuwa tunafundishwa nilijua Ni ya uongo. Mfano tuliambiwa binadamu katokana Na nyani Na sokwe! Sasa mbona mpaka Leo Nyani bado wapo,Sokwe bado wapo Na binadamu bado wapo! Ndio maana Yesu pale kwenye hotuba ya mlimani alitoa heri nyingi Tu.Chunguza heri mojawapo yaweza kuwa ya kwako.
 
sasa hili suala la safari ya wayahudi kutoka misri kama lilitokea in reality si lazima uwepo ushahidi wa walimopita?.au kwasababu liko kiimani zaidi ndo ule ushahidi ulitoweka kimiujiza?.maana jamii haiwezi kutumia miaka 40 mahala pasiwepo hata ushahidi,hata miji iliyotajwa wakati wanapita kumbe kipindi hicho haikuwepo ama ilikua settlement ndogo sana ambayo haikuwa hata na ngome kama inavyoelezwa katika maandiko.

Na hapo hata idadi ya watu wanaokufa katika vita vya akina joshua na maadui zao inaonekana kama wameongeza chumvi tu,vita vya mikuki na mapanga inaweza kuua watu laki tano kwa siku wakati nyuklia isifikishe hata laki mbili?.
Hesabu tu inakataa,siku nzima ina dakika hazizidi 1500 ina maana mikuki ya joshua ilikua na uwezo wa kuu watu 500 kwa dakika?.
Idadi ya watu wanaokufa ni kubwa mno ingawa sijajumlisha usishangea ikafika hata bilioni,walitokea wapi hao watu katika eneo dogo kama hilo?
 
Ndio maana nalisema mkuu kwamba biblia Na quran Ni vitabu vya Ki imani zaidi,si vya sayansi au history. Vilitaka kuelezea historia ya uokovu wa mwanadamu ili afike mbinguni. Havikutaka kueleza Sana historia ya watu Na vitu bingine nje ya asili ya Yesu Na Muhamad.Adamu Na Eva walizaa watoto wengi Tu nje yaKaini Na Abel. Lakini wala biblia haikua interested Na hao!
 
[h=2]Israel’s Exodus from Egypt and Entry into Canaan[/h]




  • Rameses Israel was thrust out of Egypt (Ex. 12; Num. 33:5).
  • Succoth After the Hebrews left this first campsite, the Lord attended them in a cloud by day and in a pillar of fire by night (Ex. 13:20–22).
  • Pi-hahiroth Israel passed through the Red Sea (Ex. 14; Num. 33:8).
  • Marah The Lord healed the waters of Marah (Ex. 15:23–26).
  • Elim Israel camped by 12 springs (Ex. 15:27).
  • Wilderness of Sin The Lord sent manna and quail to feed Israel (Ex. 16).
  • Rephidim Israel fought with Amalek (Ex. 17:8–16).
  • Mount Sinai (Mount Horeb or Jebel Musa) The Lord revealed the Ten Commandments (Ex. 19–20).
  • Sinai Wilderness Israel constructed the tabernacle (Ex. 25–30).
  • Wilderness Camps Seventy elders were called to help Moses govern the people (Num. 11:16–17).
  • Ezion-geber Israel passed through the lands of Esau and Ammon in peace (Deut. 2).
  • Kadesh-barnea Moses sent spies into the promised land; Israel rebelled and failed to enter the land; Kadesh served as the main camp of Israel for many years (Num. 13:1–3, 17–33; 14; 32:8; Deut. 2:14).
  • Eastern Wilderness Israel avoided conflict with Edom and Moab (Num. 20:14–21; 22–24).
  • Arnon River Israel destroyed the Amorites who fought against them (Deut. 2:24–37).
  • Mount Nebo Moses viewed the promised land (Deut. 34:1–4). Moses delivered his last three sermons (Deut. 1–32).
  • Plains of Moab The Lord told Israel to divide the land and dispossess the inhabitants (Num. 33:50–56).
  • Jordan River Israel crossed the Jordan River on dry ground. Near Gilgal, stones from the bottom of the Jordan River were placed as a monument of Jordan’s waters being divided (Josh. 3:1–5:1).
  • Jericho The children of Israel captured and destroyed the city (Josh. 6).
 
Very interesting. Kuna njia fupi Sana toka Egypt mpaka Israel. Haps kwenye ramani inaonekana walizunguka Sana! Kuna wakati walikua wanarudia tena kule walikotokea kisha wanaendelea. Walikua vipofu au?
 
Kijana swart unasema nyani au sokwe wako vilevile ,je unaweza vp kututhibitishia kwamba pale jerusalem eneo la wapalestina ndio nchi ya ahadi na isiwe kwingine ,vp ushaidi wa mtu wa kwanza kwanza kupatikana afrika ya mashariki (olduvai gorge) uthibisho wa kihistoria, na pia kwa nn watu wote wana vina saba vyenye mfanano zaidi na watu wa afrika mashariki kuliko sehemu yoyote ulimwenguni uthibisho wa kisayansi ,eti mnasema mtu anaweza ishi miaka 600 huu ni udanganyifu wa wazi sawa na hadithi za bulitcheka kwa vipimo vya kisayansi umri mrefu zaidi kwa binadamu sasa ,kabla hata milele ni miaka isiyozidi 140, na kumbukeni enzi za kuhama wayaudi hakukuwa na suezi canal bado kuchimbwa tu hata kufikirika ,na pia eneo lote lilikuwa chini ya himaya ya misri mpaka kaanan majibu tafadhali.
 
Very interesting. Kuna njia fupi Sana toka Egypt mpaka Israel. Haps kwenye ramani inaonekana walizunguka Sana! Kuna wakati walikua wanarudia tena kule walikotokea kisha wanaendelea. Walikua vipofu au?

ndio wakatumia miaka yote hiyo! Mimi nadhani Elungata ana point, labda hamjambamba. Kitu kingine kilicho nistaajabisha ni mazungumzo ya MUNGU na Musa, kama mdau mmoja alivyoweka hapo juu.

Eti Mungu anatishia kuwaangamiza wote Musa anamshauri Mungu aache. Kwa maelezo hayo mungu anakuwa hajui anachokifanya. MUSA kageuka kuwa mshauri wa mungu!
 
Last edited by a moderator:

Uzuri kipindi chetu ushahidi wa video/picha na sauti vyote vipo...mazuzu yaliyotufikisha hapa yatakuwa handpicked. ..
 
Si mbali ila miaka ya zamani na siku hizi inahesabiwa tofauti, halafu walikuwa wansuasua mno mara wamgomee Musa mara waulizie ili wapate uhakika wa nchi ya ahadi. Basi ilimradi bibilia nayo inazingua zingua tu.

ha ha ha bora wewe umekuwa muwazi..biblia ijipange upya!!
 
kwa anaye fahamu ile nchi waliyo haidiwa wa israel (kanan) kwa sasa ni nchi gani atufahamishe
 
Mkuu Kama ungenielewa vizuri mimi simpingi mkuu Elungata wala sikupingi wewe. Nachotaka kusisitiza Ni kwamba vitabu vya dini Na vitabu vya history au sayansi vina mitazamo Na madhumuni tofauti.Hauwezi kutumia sayansi au historia kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu Na miujiza ya Mungu.Mambo ya Mungu msingi wake mi imani,lakini mambo ya sayansi Na history msingi wake Ni observation,experimentna research mbalimbali.Tunaambiwa siku ya mwisho Yesu aliwaaga wanafunzi wake Na kupaa bila kuwa Na mbawa Na kupotea mawinguni. Kuna sayansi inaweza Ku prove hili? Jibu Ni hapana,waumini wanaamini Tu tukio hili. Kingine,wakati wa Israel wanatoka Misri kurudi Kanaan,mfereji wa Suez haukuwepo. Unadhani kwanini walienda kuvukia huku kwenye bahari ya Shamu wakati njia ya nchi kavu ilikuwepo? Muamini vitabu vya dini pekee anaweza kuulizwa maswali 100 Na mwanasayansi asiwe Na jibu straight hata moja. Na mwanasayansi asieamini vitabu vitakatifu anaweza kuulizwa Na muumini maswali 100 ya Ki sayansi yenye utata,asiwe Na jibu hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…