Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Huyu mungu ulomuelezea hapa anaonekana ni mkatili sana
ndo maandiko watu wanayaamini hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mungu ulomuelezea hapa anaonekana ni mkatili sana
wamezunguka miaka 40 hawajakutana hata na mtu mmoja wa mataifa mengine?.it is impossible .umesema kweli mkuu wengi wanaocomment hawajasoma biblia kujua nini kilitokea kwa wana wa Israel na sababu zote za wao kuzunguka jangwani miaka zipo wazi. safi sana no research no right to speak.
ha..!!,kumbe nina post nyingi hivo..mi usisubiri like yangu ukiona nimekuquote in a positive way,jua hiyo ndo like yangu.
Kama nimekupinga ndo dislike yenyewe hiyo.
hata mi hushangaa,maziwa na asari jangwani?.nchi kavu kama nini.Kwanini wana wa israel hawakuongozwa kuelekea nchi ya maziwa na asali ya kweli kama Tanzania. Sasa tumeongezewa na gesi. Badala yake walienda jangwani na sasa kila siku vita na waparestina. Naamini kwa kipindi icho watu kama kina mkwawa, mirambo na wengineo wa kariba hiyo hawakuwepi kabisa. Isingewapa tabu kukamata ardhi.
jibu hoja acha kujishaua. eti "uthithubiri... ukiona..blah blah" who has time for such nonsense?
The questions is unapingana na Quran leo?
The Quran recounts details of the story of Moses in a number of chapters.
This is from Sahih International
Quran 46:30 Ayah 46:30 They said, "O our people, indeed we have heard a [recited] Book revealed after Moses confirming what was before it which guides to the truth and to a straight path.
Surat Al-Ma'idah 5:26 mentions 40 years just like the Bible says. So just admit that Quran lie as well? Is that what you are trying to say? I know you are a Muslim so face your claims.
Sahih International![]()
[ Allah ] said, "Then indeed, it is forbidden to them for forty years [in which] they will wander throughout the land. So do not grieve over the defiantly disobedient people."
Sio mbali kihivyo, ndio maana Isaack aliweza kuwatuma watoto zake kwenda Misri kutafuta chakula wakati ule wa miaka 7 ya njaa.
Na walipofika huko Misri walimkutaka Joseph (mtoto wa mwisho wa Isaack) ndiyo waziri mkuu wa Misri. Aliwatambua ndugu zake na kuwapatia chakula na wakurudi Israel. Baadaye Isaack na wanawe walihamia Misri na ndio ukawa mwanzo wa utumwa wa Waisrael Misri baada ya Pharaoh aliyekuwa anamthamini Joseph kufariki.
hahahaa, herufi kubwa ni kuonesha msisitizo tu, kufoka ni kuandika herufi kubwa zote. lakini tuachane na hayo kwanza, hebu shusha evidence hapa mkuu tujadili.
Msisitizo normally tunatumia bold text or highlight anyway we leave that aside. Aren't you the one who is claiming there was no Exodus? For what evidence that you have against it that led you to such conclusion? The only way to disprove something is either to find evidence against it, or to find a lack of evidence that should be present and for which there is no plausible explanation for its absence. Lets start from there apart from written scriptures, word of mouth and archaeological evidence that support this.
Ni kama Tanzania tu mwaka wa 50bado hatujaweza kujivunia utaifa wetu siku tukipata ukombozi wa kweli kifikra na tukaweka kwenye historia wajukuu zetu kipindi hicho wataumiza vichwa sana ilikuwaje babu na bibi zetu wakaishi maisha ya ukoloni mambo leo miaka yote hiyo?
hah..!!,like hapa tunalinganisha maandiko?...so hata kama niko kinyume na quran so what,cause that is not the case here.
Hapa tunatafuta how hawa jamaa wametumia siku zote hizo kufika wanakokuita nchi ya ahadi.
History haionyeshi movement kubwa kiasi hicho cha watu toka misri.afterall caanan ilikua under egypt occupation,
ndio wakatumia miaka yote hiyo! Mimi nadhani Elungata ana point, labda hamjambamba. Kitu kingine kilicho nistaajabisha ni mazungumzo ya MUNGU na Musa, kama mdau mmoja alivyoweka hapo juu.
Eti Mungu anatishia kuwaangamiza wote Musa anamshauri Mungu aache. Kwa maelezo hayo mungu anakuwa hajui anachokifanya. MUSA kageuka kuwa mshauri wa mungu!
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
naona hufuatilii post zangu,mimi siko hapa kuhubiria watu,na kama kinatokea hapa kitu ambacho sikubaliani nacho ntasema tu.na mara nyingi mimi hata kwenye mambo ya imani mara nyingi nabase kwenye kuquote bible,sasa lini nimehubiri qurani bana?.mimi si mwanazuoni wa quran bana,na daima napenda kutojifanya mtaalamu nayo ili nisiharibu.tatizo watu kama wewe inapoongelewa israel mnakimbilia kuquote vifungu wakati unaweza kuongelea mada kihistory bila kuquote maandiko.Elungata how can I take you seriously if half of your posts have been telling us how perfect the Qu'ran is, and now this is what you came up with? "so hata kama niko kinyume na quran so what,cause that is not the case here." You are unreliable, contradictory, biased and inconsistent with your own moral and standards. I have respect for the people who can stand for their claims not wachonganishi na wazushi. You will never agree with any explanation about Exodus no matter how logical and true it can be since your inner aspect is far away from looking for the truth but destroying it with all means.
But watch how I reason with others who are not like you.
Tunasoma katika bibilia kuwa wana wa israel walichukua muda wa miaka 40 kufika nchi ya ahadi wakitokea utumwani misri. Hapa najiuliza sana. Miaka 40 kutoka hapo kairo kwenda yerusalemu? Mbona ni miaka mingi sana? Au walikuwa hawajui njia? Mimi napata mashaka, miaka waliyokuwa wanahesabu cyo hii tunayohesabu sisi.
Hivi kuna umbali gani kutoka misri (cairo) kwenda israel (yerusalemu)?
tatizo tunaambiwa kwa miaka 40 wanatangatanga hawajakutana na jamii zingine,baada ya miaka 40 na moses kufa ndo wanaanza kukutana na jamii zingine na kufanya nao vita.Kaka kama ulisoma historia huwezi shangaa WAULIZE WAHEHE na WANGONI iliwachukua muda gani kufika Tanzani. Lakini pia the spread of BANTU ni Southern Sahara desert wametembea mamilion ya miaka. Haijarishi kuwa waisrael walikuwa wanatembea usiku na mchana walikuwa wanaishi eneo moja mpaks wanazoeleka kama wenyeji lengo wawateke wenyeji na kuwatawala. Safari yao ilikuwa ya kuvamia na kutawala baadhi ya mataifa waliyopitia.
naona tunarudi palepale, the table is empty, someone is claiming there is a glass full of wine on that table, the evidence is right before your eyes, no glass! kama kuna mazingaombwe yaoneshe wote tuione hiyo glass.
naona hufuatilii post zangu,mimi siko hapa kuhubiria watu,na kama kinatokea hapa kitu ambacho sikubaliani nacho ntasema tu.na mara nyingi mimi hata kwenye mambo ya imani mara nyingi nabase kwenye kuquote bible,sasa lini nimehubiri qurani bana?.mimi si mwanazuoni wa quran bana,na daima napenda kutojifanya mtaalamu nayo ili nisiharibu.tatizo watu kama wewe inapoongelewa israel mnakimbilia kuquote vifungu wakati unaweza kuongelea mada kihistory bila kuquote maandiko.
Mimi ukiniquotia maandiko nami nakukandamizia maandiko ambayo mara nyingi huwa ni bible.
tatizo watu kama wewe inapoongelewa israel mnakimbilia kuquote vifungu wakati unaweza kuongelea mada kihistory bila kuquote maandiko
bana we,ntakuhubirije kwa bible?afterall mimi naquote bible mtu akija na maandiko,umeshaona nimeanzisha uzi wa mambo ya dini?,mimi always narespond.You are totally strange! Why quote Bible and claim you are not here to preach? Bible is a religious book and you are using it wrongly with an intention to preach hate here. At the same time talking about not knowing about Qu'ran what a contradictory figure?
The topic is about the distance from Egypt to Israel, you have been quoting Bible all along and at the same time here you are saying this:
This is bogus. Now you are frying yourself with your own oil.