Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

Nakusubiri Mjukuu

Hapa nimekaa nje ya kibanda changu kusikilizia honi za magari πŸ˜…
nikipanda gari nitachelewa babu labda uongeze ka samsingi nichukue boda ya pekeangu, dakika 0 nipo hapo mlangoni na kiko cha motrooo nikifika tu unaanza kuvuta πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ™ƒ
 
Haya jiandae Mjukuu, nipe maelekezo ili nimtume Wakala atekeleze hilo ombi lako

Ni furaha kuvuta Kiko ya Mjukuu wangu leo πŸ€—
 
Kuna namna Wakristo mnateseka sana na habari za waislamu πŸ€”
Kuna wakati wanazingua kweli, mtu anakuja live anakuhoji, mbona wewe hufungi, kwani dini gani wenzako wote wamefunga? Kwa nini unakuwa kobe, juzi kuna jamaa aliniuliza..jibu nililompa sidhani kama atarudia kuuliza ujinga.

Mambo ya kiimani watu wanayabeba kimwili, funga is between individual with his God, wengine wala haituhusu.
 
Haya jiandae Mjukuu, nipe maelekezo ili nimtume Wakala atekeleze hilo ombi lako

Ni furaha kuvuta Kiko ya Mjukuu wangu leo πŸ€—
Hapa sasa naelewa una maanisha nini ukisema uletewe kiko, tena hapo mjukuu kasema analeta cha "moto"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mzee mwenzangu uko vizuri...
 
mi niko tayali babu nasubiri tu "imethibitishwa mengine yatakufurahisha zaidi maana kwenye hiki kiko sijaweka tumbaku pekeake ilaa nimechanganya na udamvu udamvu wa kutosha mpka useme I surrender πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€­
 
Uislamu ni dini ya unafiki
Kaangalie wauza madawa kina nani
 
Dhawabu kwa Mungu hupewa wale waliofunga kwa furaha pasipokujali jirani yake anakula mlangoni pake.Endapo nafsi yake inatamani kula kwa sababu jirani anakula,Hugo hajafunga bali anashinda na njaa
 
Hapa sasa naelewa una maanisha nini ukisema uletewe kiko, tena hapo mjukuu kasema analeta cha "moto"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mzee mwenzangu uko vizuri...
Hahah........Mzee mwenzangu huu ni utani wa Babu na Mjukuu tu

Si unajua Wazee hatuwezi kukaa muda mrefu bila kuvuta Kiko πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sasa fanya uthibitishe ili mjukuu akuletee kile cha moto kabisa, hakika siku yako itaisha vyema sana!! Na hawa GenZ hakika moshi utaultolea mdomoni na puaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
wazee kwa misamiati hamjambo🀣🀣🀣
 
mi niko tayali babu nasubiri tu "imethibitishwa mengine yatakufurahisha zaidi maana kwenye hiki kiko sijaweka tumbaku pekeake ilaa nimechanganya na udamvu udamvu wa kutosha mpka useme I surrender πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€­
Hapo uliposema utaongeza udambwi dambwi kwenye Kiko umefanya nimpigie Wakala aongeze nyingine ya juu

Hiyo Kiko inaonekana itakuwa na ladha sana, huenda ikawa ni Kiko yenye ladha kuliko zote tangu nianze kuvuta mwaka 47 πŸ€—
 
Dhawabu kwa Mungu hupewa wale waliofunga kwa furaha pasipokujali jirani yake anakula mlangoni pake.Endapo nafsi yake inatamani kula kwa sababu jirani anakula,Hugo hajafunga bali anashinda na njaa
Sasa elimisheni hizo takataka zenu wasisumbue watu
 
Hapo uliposema utaongeza udambwi dambwi kwenye Kiko umefanya nimpigie Wakala aongeze nyingine ya juu

Hiyo Kiko inaonekana itakuwa na ladha sana, huenda ikawa ni Kiko yenye ladha kuliko zote tangu nianze kuvuta mwaka 47 πŸ€—
haswaaaa sitaki kumaliza maneno babu, mi nataka ukishamaliza kuvuta ndo uanze kutoa sifa za hicho kiko na mchanganyiko wake
wakati huo nitakua pembeni nakupepea taratiiibu ukiwa unashusha pumzi πŸ₯°
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sasa fanya uthibitishe ili mjukuu akuletee kile cha moto kabisa, hakika siku yako itaisha vyema sana!! Na hawa GenZ hakika moshi utaultolea mdomoni na puaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Haha......nimeshathibitisha tayari, hapa nasubiri kuletewa Kiko tu

Na hivi nina arosto ya muda mrefu, Mjukuu atakuwa amefanya vizuri sana kuniletea Kiko ya moto πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…