Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Tagged, hi5, marafiki.com, mashada,messanger ..
That time nilikuwa nimeajiriwa kwenye hotel moja pale posta mpya mkapa tower, nilikuwa natumia sana komputa za ofisini na intanet ya wageni ku log in kwenye tagged na kukesha kutafuta marafiki kwenye marafiki.com, tuli enjoy sana on air

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2] Umenikumbusha MyGammar miaka ya 2007/2008 nilipata kadem huko nikalapua..[emoji56][emoji39]

Sent from my SM-G610F using Tapatalk
 
Dinahicious!!! umenikumbusha mada zake za styles za kipepeo....kijiko...hii blog iliniongezea budget ya sabuni kipindi hicho nipo kifungoni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar hot wire, marafiki.com to mention the few. Nimeanza kutumia internet early 2002!
 
Nimeanza kusikia neno Information super highway kwenye CNN miaka ya 90 ,ninafikiri ni 92 , mwaka 1995 nilikua chuo kimoja Dar ndio nikasikia wana install Windows 95 , wakawa wana dai ni ina file kubwa na ina chukua zaidi ya 8 hrs to install , ilikua bado ushamba wa waalimu kuruhusu kutumia computer yenye internet kwenye lab so sikuwah ona internet , kipindi hicho tunatumia DOS.
Baadae nikapata nafasi kwenda London ,UK,ilikuwa mwaka 1996 , kwenye chuo hicho bado tulitumia DOS ila kulikua na computer moja tuu kwnye lab ndio ilikua ime unganishwa na Internet. siku moja nikakumbuka ile kitu Information superhighway , ndio nikakaa kwenye computer hiyo na kuingia kwenye wendow na kutype www.CNN.com , kwa vile internte ilikua bado slow , wakati ina load , mwalimu wangu ambaye alikua mzungu akaja kuiuliza na fanya nini hapo ,sababu ilikua mpaka upate permission kutumia hiyo coputer , kwake alidhani nina fanya kitu bila kujua na kwavile nimetoka Arica basi ita kua mshamba .nikamwambia nimeingia kwnye internet , akasema kwa kunikebehi , ume type nini , nikamwamia nime tupe CNN, kwa ushamba wake alikua hajui CNN ni nini, akaniambia kwamba itakuwa nime type kitu sikijui na itakuwa nime kosea , kabla haja maliza kuongea page ikafunguka na logo ya CNN ikatkea , akabaki ana shangaa akaniuliza CNN ni nini ? nikamwambia ni American news Channel kabaki kimya kujiona yeye ndio mshamba zaidi . hiyo ndio mara ya ngu ya kwanza kutumia internet mwaka 1996.
 
Nipo chuo mwaka 2006,nikazama zangu makitaba kuchapa book,nikaenda kwenye floor ya computer,kabla hawajazipiga pin,nikazama zangu yahoo charts....

Nikaona demu yupo online,kumbe na yeye yumo humo humo maktaba anachimba kitabu... Nikaanza kumwaga story kwamba mimi ni mtumishi wa NSSF,demu akapenda sana tuonane...

Nikaomba number ya simu akanipa,nikamtumia sms,kumbe yule demu alikua karibu na mimi,ni kama kiti cha tano tu toka kwangu,nikamwona demu anachukua simu,akasoma sms na akajibu....

Aiseee nikaenda zangu hostel,nikauramba,nikasogea twn,demu nikamwita akasema atakuja saa moja jioni,tule bata hadi kesho ndo atarudi chuo....

Kidume nikasema poa,demu kajiparula haswa anakuja kwa msela,alipofika tukala,tukanywa,nikaenda mgegeda hadi asubuhi... Nikampa 20,000,akasepa zake....

Basi ndo ukawa mchezo wangu,siku nina hela namwita namkula,sasa siku moja mida ya jioni,natoka zangu hostel,nikamwona kwa mbali yule,akanipigia vipi tena huku,nikazuga nimeenda mpa Hi mdogo wangu.. akaniambia twende hostel kwake,kufungua mlango tu,nakutana na demu nasoma naye kozi moja... yaani D bora umekuja unisaidie assagnment,maana sijafanya kabisa.... Guess what happened... yahoo ilinipatia demu kiurahisi sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
Duuuuh basi ww mtoto sanaa.me kipindi hicho matawi nina sonyericson yangu nazama mig33,myspace,waptrick, mambo ya kick out hahaha nilisafirisha sana wadada kuja dar hahaha tena wadada wa kipindi hicho walikuwa na upendo haswa na hawahitaji hata senti yako ni mapenzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Grid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waptrick nilikua naingia kudownload music tu na Nokia yangu E61 mwaka 2009 hiyo
 
Nilianza kutumia mtandao 2008 dah nimepita site za chating nyingi sana ila mtandao wa kwanza kujiunga ni Waplog, Afu ikaja Facebook, Nimbuz, Eskimi, 2go, palmchat, JF nilijiunga kimzamzaha nkqpoteza Acc ndo nkarudi baadae 2013 na acc hii, kipindi hicho waptrick inakimbiza, Wapkid huko ndo kulikuwa na miziki hapo Porn tuliangalia Phonerotica na brazzers kipindi hicho mb 25 buku, Usiku kuanzia saa sita net bure, Dah Waplog nilidumu sana nkapata mpaka Demu wa ki indonesia baadae nkarudi fb nako kimbiza sana mpaka sasa ivi sidhani kama kuna mtandao siujui isipokuwa tu kwenye mitandao yenye tension sipo kwa majina yangu na nikuwa msomaji tu, Nimebaki kuchangia JF tu na majukwaa ya kama KT talk, Nairaland, Qura, Xd developers, Ambapo nipo real ni Linked tu, Mitandao iliyo kuwa based na watoto kuna Badoo, na Prosperity kwa Mashoga na wasagaji nimetembea mitandao kibao sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…