Umeanza kutumia mtandao lini? Wale wa kale tukutane hapa

Dar hot wire nilipata marafiki mnooo!!
My language exchange mpk zawadi za mexico nililetewaa...!!!!nacha kabisaaa
Kulikuwa na Msn chat, yahoo chat, hi5, myspace wajanja walikwepo kibao huko, hapa bongo kulikuwa na darhotwire, marafiki.com. Facebook alipokuja akauwa yote ingawa hi5 bado nipo lkn haina mvuto tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji52][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vocha zinaitwa Dolaaa!!hakuna ya buku
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niamkieee kabisaa nyau weeeewwwe[emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niamkieee kabisaa nyau weeeewwwe[emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kweli anatakiwa kukuamkia lakini hicho sidhani kama ni kipimo sahihi cha umri inategemea mazingingira mtu aliyokulia. Mimi nimeanza kutumia mitandao effectively 2011 lakini nina uhakika umri nimekuzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Haahah umenichekesha sana eti inazunguka mpaka muda unaisha..mtaalam wa cafe naye kilaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Eskimi ulikuwa watafuta nini huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha just ku-social tu Chief ...wajua ukisikia kitu kinavuma na kina pendwa na watu inavyokuwa !! ?

Binaadamu tuna hulka ya kujaribu vitu mbali mbali haswaa vile ambavyo vinaonekana kupendwa na watu wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa haaa manina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mig33 ilikuwa na chat rooms aisee na kitu cha private ilikuwa nzuri sana mig

.
 
Mig33 kulikuwa na room za tigo tanzania..full hatari kule, room zinajaa jion...private za maana.

Kukawa na yahoo messenger

Ikaja marafiki.com

Hi5

Waptrick

datenshaggy.com

Mingine nishaisahau...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…