Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Daah!nimeanza 2001 form one pale faya naenda internet na kina Ramla!!!!Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!nimeanza 2001 form one pale faya naenda internet na kina Ramla!!!!Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
Kulikuwa na Msn chat, yahoo chat, hi5, myspace wajanja walikwepo kibao huko, hapa bongo kulikuwa na darhotwire, marafiki.com. Facebook alipokuja akauwa yote ingawa hi5 bado nipo lkn haina mvuto tena
line ya voda ikiwa 32,000/= unapata na manual bonge la kitabu kwny pack ukasome namna ya kutumia line BUZZ(sasa Tigo) line 22,500 iko ndANI YA kasha la cd na kakitabu flani kadogo manual ya jinsi ya kutumia line bila kusahau wazee wa tritel walioibuka na mabei yao makubwaaa vilaza sana watu hadi kuwekewa mavitabu ya kusoma notes ili uelewe kuweka kline jinsi ya kupiga kutuma sms na kucheza gemu la nyoka
Mi nimetumia friends.com walijaa wakenya ni mwaka 1999 hapo mpaka 2001
Mimi nimeanza 2008 nilijiunga na Yahoo.. eskimi .badoo .phonerotica(hapa nilikuwa mpaka nafanya chatting) dinahicious.blogspot .michuzi jr.2go.peperonit . Facebook .whatsaap . Hi5 .Na mingine mingi tu ambayo kwa sasa nimeisahau .. palikuwa na cafe 1 hivi tabata karibu na shule ya st.mary ilikuwa ina nimalizia sana pesa zangu siku za weekend... net bwana inautamu wake enzi hizo ilikuwa nikiingia cafe sitamani kutoka kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akimaliza kukuamkia, njoo uniamkie [emoji39][emoji39]Niamkieee kabisaa nyau weeeewwwe[emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo kaka!Akimaliza kukuamkia, njoo uniamkie [emoji39][emoji39]
Marahaba mdogo wangu, 2001 form I, dah!!!
Inawezekana kweli anatakiwa kukuamkia lakini hicho sidhani kama ni kipimo sahihi cha umri inategemea mazingingira mtu aliyokulia. Mimi nimeanza kutumia mitandao effectively 2011 lakini nina uhakika umri nimekuzidiNiamkieee kabisaa nyau weeeewwwe[emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisikitike.Wala haujapata dhambi.Nimeanza na facebook 2008 Kama sio 2009. Hiyo mingine sijawahi hata kuisikia
😂😂😂😂😂😂😂😂Usisikitike.Wala haujapata dhambi.
Looooh. Mwaka huo Niko standard 3Daah!nimeanza 2001 form one pale faya naenda internet na kina Ramla!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahah umenichekesha sana eti inazunguka mpaka muda unaisha..mtaalam wa cafe naye kilaza.yahoo inazunguka hadi muda wa kukaa cafe unaisha.
unauliza nini tatizo, wanasema ni network... ukiuliza network ndio nini hata mtaalam wa cafe naye kilaza. mimi nilikuwa nawaona kama wanaPHD ya IT kumbe ni masekretari tu.
Hahaha just ku-social tu Chief ...wajua ukisikia kitu kinavuma na kina pendwa na watu inavyokuwa !! ?Mkuu Eskimi ulikuwa watafuta nini huko [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaa haaa maninaNipo chuo mwaka 2006,nikazama zangu makitaba kuchapa book,nikaenda kwenye floor ya computer,kabla hawajazipiga pin,nikazama zangu yahoo charts....
Nikaona demu yupo online,kumbe na yeye yumo humo humo maktaba anachimba kitabu... Nikaanza kumwaga story kwamba mimi ni mtumishi wa NSSF,demu akapenda sana tuonane...
Nikaomba number ya simu akanipa,nikamtumia sms,kumbe yule demu alikua karibu na mimi,ni kama kiti cha tano tu toka kwangu,nikamwona demu anachukua simu,akasoma sms na akajibu....
Aiseee nikaenda zangu hostel,nikauramba,nikasogea twn,demu nikamwita akasema atakuja saa moja jioni,tule bata hadi kesho ndo atarudi chuo....
Kidume nikasema poa,demu kajiparula haswa anakuja kwa msela,alipofika tukala,tukanywa,nikaenda mgegeda hadi asubuhi... Nikampa 20,000,akasepa zake....
Basi ndo ukawa mchezo wangu,siku nina hela namwita namkula,sasa siku moja mida ya jioni,natoka zangu hostel,nikamwona kwa mbali yule,akanipigia vipi tena huku,nikazuga nimeenda mpa Hi mdogo wangu.. akaniambia twende hostel kwake,kufungua mlango tu,nakutana na demu nasoma naye kozi moja... yaani D bora umekuja unisaidie assagnment,maana sijafanya kabisa.... Guess what happened... yahoo ilinipatia demu kiurahisi sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh... Kumbe ni katoto kalito..Looooh. Mwaka huo Niko standard 3
Mig33 ilikuwa na chat rooms aisee na kitu cha private ilikuwa nzuri sana migDuuuuh basi ww mtoto sanaa.me kipindi hicho matawi nina sonyericson yangu nazama mig33,myspace,waptrick, mambo ya kick out hahaha nilisafirisha sana wadada kuja dar hahaha tena wadada wa kipindi hicho walikuwa na upendo haswa na hawahitaji hata senti yako ni mapenzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app