Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Ugonile,

kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.

Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
 
Mwanamke mwenye kazi au Biashara na kipato cha kujitegemea hata akisema anakupenda basi inatoka moyoni, hata akikuheshim basi anayaenzi malezi ya wazazi wake na haiba ya kike.
Ila hawa hopeless ahahhaah, Maskini hana kiapo muda mwingine si heshima wala unyenyekevu na sio upendo inaweza kua Njaa tu.
 
Shida ya Africans wengi mnataka wanawake Jobless kwa madai watawaheshim ila heshima haiji hivyo point kubwa ni ili muwanyanyase maana hawana option isipokua kuvumilia kila kitu mpaka ujinga.
Mkuu umeongea ukweli lkn kwa bahati mbaya nature bado haipo ivo. kwa sasa mwanaume kuwa juu ya mwanamke kama nature inavotaka lazima kuna vitu umzidi sanasana pesa
 
Mwanamke kuwa na kipato sio msaada au favor kwa mtu yoyote, isipokua ni kwa ajiri yake yeye mwenyewe. Mwanamke ni mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu lazima umkute kuna shughuli anafanya kujikimu. Hiyo sio option ni wajibu wa lazima kama mtu mzima. Mahusiano yenu yakienda mpaka mkafikia kuishi pamoja basi masuala ya matumizi na bill kwenye familia mnaweza kuyajadili na kupanga yataendaje
 
Ngoja waje waseme wenyewe ,siye tunawaona wanavyoangaika na madeni ili kurun family acha tu hadi unajiuliza huyu mkewe si anafanya kazi fresh tu mbona hasaidiwi majukumu hayo anayotaka kukopa pesa ya kununua mahitaji ya ndani.
 
Ngoja waje waseme wenyewe ,siye tunawaona wanavyoangaika na madeni ili kurun family acha tu hadi unajiuliza huyu mkewe si anafanya kazi fresh tu mbona hasaidiwi majukumu hayo anayotaka kukopa pesa ya kununua mahitaji ya ndani.
Mkuu, % kubwa kwenye circle yangu wameoa wanawake ambao pesa ya kujikimu sio shida lkn wanajuta maana hawana msaada wowote kwenye familia
 
Back
Top Bottom