Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

Inategemea na Mwanamke, hapa huwezi kutoa jibu la moja kwa moja

Suala la kuweka mshahara wake mezani au kutumia unavyotaka wewe inategemea na tabia na maamuzi yake. Mimi nafikiri wapo hivi:

▪︎ Kuna ambao ni Wabinafsi na wasiri na hawaweki wazi pesa zao

▪︎Wengine wako Neutral, yaani mishahara yao ni siri yao, wana ka ubinafsi lakini kuna vitu vya msingi wanafanya...hasa yanayohusu watoto wao na haijalishi ht kama unafahamu kiwango cha mishahara yao🤣

▪︎Wengine wana mishahara lakini sio Wabinafsi na wanawapa Waume zao ndio wapangilie matumizi au wanapanga pamoja...nafikiri Wanaume wengi wanawapenda hawa
 
Ugonile,

kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.

Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
Zaidi ya mateso na kukosekana utulivu, sijui kama kuna usalama huko ndani.

Wanawake wengi wa sasa, wamejengwa katika 'pata chako ili mumeo asikunyanyase'.. ogopa sana hiyo kasumba. ✍️
 
Zaidi ya mateso na kukosekana utulivu, sijui kama kuna usalama huko ndani.

Wanawake wengi wa sasa, wamejengwa katika 'pata chako ili mumeo asikunyanyase'.. ogopa sana hiyo kasumba. ✍️
Unapenda sana kunyanyasa mwanamke eeh?
 
Pesa zao hao wanawake ni za kununua maUREMBO ,manguo ,maviatu ,malotion etc ila kununua unga/mchele .kuboost ada ,cement site wasahau.
Akijinunulia urembo, nguo, viatu, lotion hapo amemsaidia mwanaume sana maana hizo bills za urembo alitakiwa kulipa mwanaume kama mke wake asingekuwa na kazi.

Mwanamke asingekuwa na kazi, mwanaume ungenunua nguo, lotion, viatu, urembo etc. Kwahiyo kitendo cha mwanamke kujinunukia hivo vitu, tayari mwanaume umesaidiwa.
 
Kizazi hiki wanawake wanapitia changamoto sana kama wanaume ndio hawa wanaotaka kupewa pesa na mbususu kazi wanayo
 
Back
Top Bottom