King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hivyo vitu anavyonunua kuna % unaongeza siyo kama 100% anatoa yeye ,kama nguo za laki tano basi laki 2 utatoa ,kama lotion laki basi nusu utatoa ,halafu tambua hao watu matumizi yao ni makubwa ,mizinga yao ni sawa na ombaomba 50 uwajumlishe.Akijinunulia urembo, nguo, viatu, lotion hapo amemsaidia mwanaume sana maana hizo bills za urembo alitakiwa kulipa mwanaume kama mke wake asingekuwa na kazi.
Mwanamke asingekuwa na kazi, mwanaume ungenunua nguo, lotion, viatu, urembo etc. Kwahiyo kitendo cha mwanamke kujinunukia hivo vitu, tayari mwanaume umesaidiwa.