MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Single mother hao ni special case, nazungumzia hawa wajuba waliooa wafanyakazi na businesswoman kwa kigezo cha kusaidiana majukumuAt least wanahudumia mtoto wao hii kwa waliojichanganya kwa single mazaa
Faida yake ni kwamba mwanaume akiondoka mapema duniani, ni kwamba angalau wataweza kuishi vema .Ugonile,
kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.
Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
Mkuu umeongea ukweli lkn kwa bahati mbaya nature bado haipo ivo. kwa sasa mwanaume kuwa juu ya mwanamke kama nature inavotaka lazima kuna vitu umzidi sanasana pesaShida ya Africans wengi mnataka wanawake Jobless kwa madai watawaheshim ila heshima haiji hivyo point kubwa ni ili muwanyanyase maana hawana option isipokua kuvumilia kila kitu mpaka ujinga.
Amen, Mungu anipe kama huyo kama sio huyo huyo.wangu ni mpambanaji mno mno ! Naweza kusafiri hata mwezi na kurudi nakuta kila kitu kipo on track .... kuanzia family, mbanga zetu zinazotupatia ugali n.k ! Mungu amuweke mama Clareee wangu
Hongera sana mkuu, ni wanawake wachache sana wanaweza izo mbangawangu ni mpambanaji mno mno ! Naweza kusafiri hata mwezi na kurudi nakuta kila kitu kipo on track .... kuanzia family, mbanga zetu zinazotupatia ugali n.k ! Mungu amuweke mama Clareee wangu
Ndio, mzidi mkeo kipato hiyo ni muhim sana ila hata yeye awe na kipato chake binafs.Mkuu umeongea ukweli lkn kwa bahati mbaya nature bado haipo ivo. kwa sasa mwanaume kuwa juu ya mwanamke kama nature inavotaka lazima kuna vitu umzidi sanasana pesa
Hongera yakeMi nimeona kwa wazazi nyumbani mama ni mpambanaji faida anayopata Baba ni kubwa habebi mzigo wa familia peke yake mpaka huwa anasema Mungu kampendelea kwenye mke
Mkuu, % kubwa kwenye circle yangu wameoa wanawake ambao pesa ya kujikimu sio shida lkn wanajuta maana hawana msaada wowote kwenye familiaNgoja waje waseme wenyewe ,siye tunawaona wanavyoangaika na madeni ili kurun family acha tu hadi unajiuliza huyu mkewe si anafanya kazi fresh tu mbona hasaidiwi majukumu hayo anayotaka kukopa pesa ya kununua mahitaji ya ndani.
mwezi wa ngapi unasafiri tena mekuwangu ni mpambanaji mno mno ! Naweza kusafiri hata mwezi na kurudi nakuta kila kitu kipo on track .... kuanzia family, mbanga zetu zinazotupatia ugali n.k ! Mungu amuweke mama Clareee wangu