King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hivyo vitu anavyonunua kuna % unaongeza siyo kama 100% anatoa yeye ,kama nguo za laki tano basi laki 2 utatoa ,kama lotion laki basi nusu utatoa ,halafu tambua hao watu matumizi yao ni makubwa ,mizinga yao ni sawa na ombaomba 50 uwajumlishe.Akijinunulia urembo, nguo, viatu, lotion hapo amemsaidia mwanaume sana maana hizo bills za urembo alitakiwa kulipa mwanaume kama mke wake asingekuwa na kazi.
Mwanamke asingekuwa na kazi, mwanaume ungenunua nguo, lotion, viatu, urembo etc. Kwahiyo kitendo cha mwanamke kujinunukia hivo vitu, tayari mwanaume umesaidiwa.
Walio wapata wale wanaojua nafasi zao ndani ya ndoa na familia na wenye hofu ya Mungu wana enjoy, ila wanawake wa type hii ni wachache mnooooooo......Ugonile,
kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.
Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
Kila mjinga ana paswa kujifunza.Kwahiyo faida yao mpaka ufe ?
Nimeuliza swali kulingana na mfano wako.Kila mjinga ana paswa kujifunza.
Hongerawangu ni mpambanaji mno mno ! Naweza kusafiri hata mwezi na kurudi nakuta kila kitu kipo on track .... kuanzia family, mbanga zetu zinazotupatia ugali n.k ! Mungu amuweke mama Clareee wangu
Nahisi utakuwa kama mama yako, uje nikuoe😁Mi nimeona kwa wazazi nyumbani mama ni mpambanaji faida anayopata Baba ni kubwa habebi mzigo wa familia peke yake mpaka huwa anasema Mungu kampendelea kwenye mke
FactAkijinunulia urembo, nguo, viatu, lotion hapo amemsaidia mwanaume sana maana hizo bills za urembo alitakiwa kulipa mwanaume kama mke wake asingekuwa na kazi.
Mwanamke asingekuwa na kazi, mwanaume ungenunua nguo, lotion, viatu, urembo etc. Kwahiyo kitendo cha mwanamke kujinunukia hivo vitu, tayari mwanaume umesaidiwa.
Hali ni tete mkuu. Ila wana nafuu kuliko magolikipa.Ugonile,
kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.
Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
Nafuu gani iyo mkuu wkt heshima hakuna auHali ni tete mkuu. Ila wana nafuu kuliko magolikipa.
Ndio hivyo unakufa na tai shngoniNafuu gani iyo mkuu wkt heshima hakuna au
Nilishawambia mwanamke ni tako titi nansura ukianza kusemanoh ana degree ana kazi ujue wee hufai kuoa...u r expecting blood from stoneNgoja waje waseme wenyewe ,siye tunawaona wanavyoangaika na madeni ili kurun family acha tu hadi unajiuliza huyu mkewe si anafanya kazi fresh tu mbona hasaidiwi majukumu hayo anayotaka kukopa pesa ya kununua mahitaji ya ndani.
Tuache na maisha yetu hayakuhusuUgonile,
kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.
Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
Uko sahihiPesa ni kipimo kizuri cha uaminifu kuliko umaskini.
Wanakimbia majukumu hao......Ukifanya utafiti ndoa nyingi zilizovunjika ni za hizo nataka mwanamke mwenye kazi/ajira/anayejiweza.Nilishawambia mwanamke ni tako titi nansura ukianza kusemanoh ana degree ana kazi ujue wee hufai kuoa...u r expecting blood from stone
Jukumu la mwanamke ni lipi hasa?Umemaliza!!!! Hao ndiyo wanaume wengi wa Kitanzania walivyo.
Natafuta Ajira Nikifa MkeWangu Asiolewe
💯Uko sahihi
Ana mimba yupo mwengeMs eyes yuko wapi mkuu
Gwa kumyitu ulinkafu 😂Ugonile,
kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato.
Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?