Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
- Thread starter
-
- #41
Najua ungeweza kumpa mkuu ila lengo langu ni kuwa kwa kuwa umeshajua ni muuzaji kama walivyo wauzaji wengine basi shirikisha na wenzio ili kutanua wigo
😂😂Ukute ulijishauashaua nakujifanya unazo!
Chuo gani anasoma. Watu mna hela yani unatoa 300k kwa outing ya mademu hawa ninaopiga nao discussion?
300k kwa outing ya mwanachuo wa lower to middle income class ni mbali sana. Ukute huyo huyo huwa anasubiri boom la 510k kwa miezi miwili. Tena msimu wa njaa kama huu hapa (bado kama 2 weeks boom lije) watu kibao hawana hela ukiwaita outing ya laki tu wanakuwa wamepata. Sema kwa vile walikuja watatu ila bado ulitoa parefu.
Kwanza ungemuita kwako achukue hata 150k angekuja mwenyewe. Next time aje peke yake location mfanye biashara ya kuuza na kununua uchi. Hana woga na wewe una kianziao, hao wenzake unaweza wakaribisha kwa muda wao maana wote wajasiriauchi. How comes wanywe pombe za laki 3 na mwenzao atake kulala nawewe kwa malipo wakiwepo. Wote walewale wanatunziana siri.
Wewe mwongo eti hukuwa na ratiba nae. Ratiba ulikuwa nayo sana ila uliingia kwa fujo.

Jf hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mie wakati nahitaji kuoa,nilikuwa namuuliza demu maswali mawili: unanipenda ama unanipenda ili nikuoe.Kuna mwenzio anamla bure huyo tena anaipeleka mwenyewe. Na hapo baada kukuacha na majuto yako kampelekea mtu bure huko kitaa!
haha hao mabitch wa club za masaki wanakuaga na misimamo kinoma. huko mabaharia ambao bado tupo uchumi wa kati wa chini tunaendaga kula kwa macho tu.
Huna haja ya kuprove anything mkuu its your life!! kazi iendeleeRisit hizi hapa natuma naona unafikir nazingua
Watu hawaaamini ujue ,mtu anapokosa buku mfukoni anadhani kuwa ni wote wako Kama yeye. Kumbe Kuna mmoja anampatia jamaa laki akamletee binti pale chuo gani Cha pale mjini jamani.View attachment 1805140
Ilikua jmc 23/05 bill nmelipa usiku tyr trh 23 angalia trh na muda kama bado huamin na muamala nakutumia nililipa kwa simu
Mbona hawakuwa wapenzi hataMie Kuna mmoja aliniambia Kama nakuja price yangu ni 50k.yaani sikutegemea Kama angeniuzia ,yaani nikafuta namba yake papo kwa papo.
Ila inaonekana huyo demu hakupendi mkuu. Huwa naamini kuwa anayekupenda haombi kitu anasubiria ujiongeze mwenyewe.pia huyo ukienda naye hautaenjoi Mana kukupa Ile high romance hutopata.
Namie huwa napenda Sana romance sana
Utakutana na anayetaka malipo kabla ya shoo ndo utapoelewa ujanja una mwishohaha mim nawatorokaga tu lodge naamka saa kumi na moja au kumi alfajiri. akiamka anakuta ten tu ya nauli juu ya meza.
hii sasa ndio inaitwa lost opportunity.... sasa kama 350k imeenda kwa vinywaji sii u might as well made it a cool 1 million and just have a foursome with them ladies weweMambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hv..
Huyu manzi nafahamiana nae tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn sio kuchat wala call.
Hio siku nikaona amepost anakula msuli anasoma nikamuuliza hujamaliza chuo tu? Akanambia bado ndo story zikaanza nikampa code atokee maeneo akakubali. Moja ya viwanja maarufu pale masaki.
Akanicheki anaomba kuja na best zake wa2 nikamwambia nataka uwe comfortable njoo nao. Mida ya sa4 hivi akatokea aneo la tukio mapema tu akiwa na best zake wakiwa wamependeza sana, nikamwambia awe huru na best zake waagze wanachotaka. Kama unavojua manzi wa chuo kizazi wakaagza cocktail mara jameson, wakaagza chakula nk. Bila kusahau snap zilihusika sana me nawacheki tu wanavyo tapatapa.
Bili kuja ikasoma kama 350k nikamwambia manzi kwa kumzingua nataka tuondoke wote akasema wapi? Nikamwambia tukalale hotelini akanambia you can’t have me for free..[emoji119]. Nikamwambia bill yote hii bado unilipishe?. Sio unanitunuku? ofcoz sikua na nyege nae wala nini, nikamwuliza unataka sh. Ngap? Jibu lake likafanya pombe zote zitoke kichwani[emoji23][emoji23].
Dada bila aibu akasema anataka 200,000 taslimu, nikamwambia acha ungeseleee kumkaziaa kidogo akasema 100k top
yule dada nilikua namwonaga mstaarabu sana kumbe ni muuza mbususuu aisee kweli kazi iendeleee, mwanaume kama huna pesa kula manzi ni ngumu sana kwa zama hizi.
Sio Kila mtu humu anawaza nyumba, wengine walishatoka uko wanawaza ishu nyingine kabisaKwa staili hii hakika baba wenye nyumba tutaendelea kuwa wachache sana maana vijana mnahonga sana nakati mbususu sisi tunazipata kiulaini kabisa