Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Swali lilikuwa linalenga nini
Mfano unaweza kumuuliza mtu viazi na mihogo ina tofauti gani
Akakwambia havina tofauti akiwa na maana ya virutubisho vilivyomo ndani yake
Kumbe wewe ulitaka kujua kuhusu ladha ya mihogo na viazi ndiyo kilichotokea hapo
Mtangazaji alikuwa surprised.she knew she was the next victim
 
Hiyo ww sio kazi yako..tena wanakuuliza kabisa unapenda nyama yenye asili ya wapi..za waafrika,wa asia,latin america..[emoji848]
Inawezekana, nilishawahi sikia duniani kuna watoto na na watu wazima huwa wanapoteaga na hawapatikaniki kabisa.

Inakua end of story.
 
Mimi wiki iliyopita nilikuwa na vijana kutoka Songea wakaniambia maeneo ya Nyasa kuna vijiji ukifika usiku usilale au wakikuribisha ukae kwenye mkeka funua huo mkeka chini kunakuwa na shimo wanakula watu hadi leo sasa sijui kweli au story
 
Mleta mada nenda tu hapo kagera Kuna sehemu zamani kidogo walikua wanakula nyama za watu.Mtu akifa na akizikwa ndugu wa marehemu walikua wanalazimika kulilinda kaburi kwa wiki moja had marehemu aoze.Kama sijakosea ni maeneo ya Bugabo ,hizi mambo zinafichwa lakini zilikuwepo Sana had huko Uganda na DRC Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoka Papua New Guinea . Papua New Guinea IPO karibu Na Australia. Watu WA Papua New Guinea Ni weusi
Naona wanafanana fanana na wale Aborigines wa Australia.
 
Ujinga sana, watu wanafikiri rangi ya ngozi ndio uafrika.

Sijui shida ni nini??
Hawasomi, wamekariri elimu ya drs7 na kidato cha nne.
North Africa yote kuna watu weupe wengi zaidi kuliko weusi lakini kuna watu wamekariri Africa ni ya weusi tu, wajinga sana. Hata sisi weusi kuna wabantu rangi sawa na warabu sasa sijui wao asili yao wapi ?
 
Ukiona muafrica ulaya Asia, Australia,marekani zote ujue kapelekwa.
Soma vizuri historia.Abologinal ni watu weusi kuliko hata sisi wabantu, nani kawapeleka kule?
Andalusia ina watu weusi wapo zaidi ya miaka 100000 **** mzungu gani aliwapeleka kule.
Acha kukariri historia ya mzungu na mwarabu siku hizi watu wamefukua na kujua mengi kuliko zamani.
Malaysia,Thailand zote zina watu weusi tii na wapo pale miaka dahari.
 
Dunia yote kuna wazungu, wachina, wahindi, Waarabu, persians n.k
Ushajiuliza kwanini timu ya taifa ya Tanzania haina mchezaji Mzungu, Mwarabu, mhindi au mchina?
Nimeuliza kuhusu asili lkn unakuja na ujuaji mwingi kumbe ni kubwa ji****a
Kule Libya ni weusi kama wewe ? Je sio waafrika ni waamerica wale eti ! Huna unachojua wewe ni dogo jinga. Kafunue vitabu usome,bado unaamini historia aliokufundisha mwalimu wako wa primary.
Soma acha uvivu, soma,soma, soma, utaacha huo ujinga.
 
Soma vizuri historia.Abologinal ni watu weusi kuliko hata sisi wabantu, nani kawapeleka kule?
Andalusia ina watu weusi wapo zaidi ya miaka 100000 **** mzungu gani aliwapeleka kule.
Acha kukariri historia ya mzungu na mwarabu siku hizi watu wamefukua na kujua mengi kuliko zamani.
Malaysia,Thailand zote zina watu weusi tii na wapo pale miaka dahari.
Ushawahi kumuona mzungu mwafrika?
 
Ushawahi kumuona mzungu mwafrika?
Nimesema kasome. Aboliginal ni weusi tii ila sio waafrica.
Mzungu anaweza kuwa mwafrika.
Kenya wapo wengi,msumbiji, Angola,botswana, Zimbabwe wamejaa wazungu waafrika.
Warabu wa misri nk wote waafrika.
Kama bado hukubali basi nikuache na dhana yako ya uafrica unavyoielewa wewe.
Usinilazimishe kuamini kuwa kila mwesi nje ya Africa ni mwafrica.
Kuna weusi hata DNA zao hatufanini nao hata kidogo.
Usitoke nje ya mada,
mada ni kuwakila aliemweusi duniani ni mwafrika ambapo sio kweli.
Ukiendelea ntaandika makala ndefu na uisome, hamtaki kusoma ndio maana hamuelimiki.
 
Wazungu wa aafrica kwa RANGI?
Haujielewi wewe.
Umesoma shule gani kiongozi.
Black people original Yake NI Africa tu .huko unapowaona wamepelekwa kwa utumwa.
Kama Haiti na Jamaica NI viziwa ambavyo vimepata bahati kuingia America lakini asili yao ni AFRICA.
Hakuna mzungu mwafrika.
 
Back
Top Bottom