Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

Nadhani unajua kabla ya kumeguka hii dunia ILIKUA TUFE MOJA.
Na ndo maana Haiti ni kisiwa, Jamaica NI kisiwa na hyo new Papua NI kisiwa.
Labda ungeniambia hizo nchi zipo katikati ya bara la America kusini

Bro unazungumzia nadharia gani Sayansi au Historia?

Kwa hiyo unataka kusema, wale weusi wa New Papua Guinea ni tangu enzi ya Pangea era[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]?
 
Bro unazungumzia nadharia gani Sayansi au Historia?

Kwa hiyo unataka kusema, wale weusi wa New Papua Guinea ni tangu enzi ya Pangea era[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]?
Unataka kusema wameenda Jana?
 
Libya, Misri, Morocco na Algeria. Ni nchi ambazo zipo Afrika lkn wale watu ni Warabu. Wafrika wapo km vile unavyoona wakina 50 cent. Na wewe unajiona mjanja. Dogo?
Ukimuona mtu mweusi yeyote asili yake ni Afrika na huko walipelekwa kama watumwa au wameenda wenyewe kwa shughuli zao
Kule Libya ni weusi kama wewe ? Je sio waafrika ni waamerica wale eti ! Huna unachojua wewe ni dogo jinga. Kafunue vitabu usome,bado unaamini historia aliokufundisha mwalimu wako wa primary.
Soma acha uvivu, soma,soma, soma, utaacha huo ujinga.
 
Libya, Misri, Morocco na Algeria. Ni nchi ambazo zipo Afrika lkn wale watu ni Warabu. Wafrika wapo km vile unavyoona wakina 50 cent. Na wewe unajiona mjanja. Dogo?
Ukimuona mtu mweusi yeyote asili yake ni Afrika na huko walipelekwa kama watumwa au wameenda wenyewe kwa shughuli zao
Ngoja nikuache.Nimekuelimisha kwa kila njia huelewi, endelea na uelewa wako wa kuamini moroco sio waafrika bali ni warabu.
Gd9te.
 
Kwani Wamanyema wanapatikana nchi gani?
Mimi asili yangu ni mmanyema mgoma nk. Wamanyema hawajawahi kula watu
Wamanyrma wamestaarabika zamani hata ka ya luja mzun
Tembea dunia nzima hauwezi kumkuta mzungu mwafrika.
Nimeacha kubishana na watu wenye uelewa mdogo.Endelea kubishana na wengine, to change a layman is very difficult.
 
Unaweza kuwa upo Sahihi ila kuhusu hawa wa New papua Guinea ilikuwaje? Kuna biashara yoyote ya Utumwa kati ya Africa na kule? Na Je rangi yao na Nywele zao zinazungumziwaje maana wanafanana ngozi tuu na sisi Africans.... nielimishe
Ila tafsiri mwenyewe [emoji23][emoji1787]
Screenshot_20211219-222930.jpg
 
Kwani haiwezi kuwa kinyume chake kuwa sisi ndio tulikuja kwa majahazi nao asili yao pale pale.
Vipimo vya DNA havikubaliani kati yao na sisi, tupo tofauti kabisa.

Mnapenda kulazimisha mambo sana.
Ukisema Aboliginal asili yao mu Africa hata wazungu ,wachina nk asili yao Africa.
.
Screenshot_20211219-222930.jpg
 
Mimi asili yangu ni mmanyema mgoma nk. Wamanyema hawajawahi kula watu
Wamanyrma wamestaarabika zamani hata ka ya luja mzun

Nimeacha kubishana na watu wenye uelewa mdogo.Endelea kubishana na wengine, to change a layman is very difficult.
Na ukijiona wewe ni SAHIHI kuliko mwenzio.basi wewe ndo mpumbavu wa mwisho
 
Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume

Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza Cannibalist huyo swali hili.

Feminist : From your perspective, is there any difference between a male person and a female person.

Cannibalist: Not at all at all at all. There is no any difference between a man and a woman.

Feminist: Then Why do u think there is no any difference between a man and a woman.

Cannibalist: Because they all taste the same.

FEMINIST AKAZIMIA KWA MSHITUKO...

Anyways pamoja Na kwamba habari hii Ina ogofya but Kuna kitu unaweza kujifunza.

Je unadhani Kwa perspective ya Cannibalist huyu, mwanamke Na mwanaume wanaweza kuwa Sawa?

View attachment 2048976
Bila ya shaka analikata tako lake kidogo kidogo na kulipika/ kula. Sioni sababu ya kula watu wengine na asile sehemu za mwili wake. Utamu si ule ule?
 
Mwafrika ni nani?
Mtu mwenye rangi nyeusi bila kujali alipo au
Mtu anayeishi Afrika bila kujali ana rangi gani
 
Back
Top Bottom