Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

Shida unalazimisha niseme unachotaka. "Sisi" linajitosheleza ambaye halimhusu anapita kimya
Sisi wewe na nani? Unajiweka kwenye kundi lisilokuhusu mgao wa mauzo wa ile Gesi ulipewa shingapi? Na huu wa Bwawa wamekupa shingapi? Sisi Sisi wewe na nani? Acha kua mjinga
 
Sisi wewe na nani? Unajiweka kwenye kundi lisilokuhusu mgao wa mauzo wa ile Gesi ulipewa shingapi? Na huu wa Bwawa wamekupa shingapi? Sisi Sisi wewe na nani? Acha kua mjinga
Neno nililotumia ni sahihi. Huo ujinga mwingine baki nao
 
Sawa lakini yale matilion tunalipa sisi kwenye mikopo???
 
Ubongo uliojaa kinyesi na funza hauwezi kuwa na mtazamo unaofaa kuelekea wengine. Ni uhalo mtupu
Wewe mjinga na mpumbavu angalia ujinga wako unavyouweka wazi kila mtu auone
 
Ubongo uliojaa kinyesi na funza hauwezi kuwa na mtazamo unaofaa kuelekea wengine. Ni uhalo mtupu
Kuthibitisha ujuha wako hata kuandika huwezi uhalo ndio nini?machawa mna shida sana kwa kweli
 
Kuna mahala tuna kwenda anepajua ni anaye tuongoza sasa kama ni faida yeye ndio anyeijua kama ni hasara yeye ndiye anaye ijua. Yetu macho.
 
Kuthibitisha ujuha wako hata kuandika huwezi uhalo ndio nini?machawa mna shida sana kwa kweli
Umekurupuka mkuu. Unaweza kuwa mzuri kwenye kuandika lakini bado usijiondoe kuwa miongoni mwa Majuha. Nenda post yangu namba 14 hapa uonyeshe uchawa wangu.
 
Transmission cost ,jipe muda wa kujisomea kwanza
 
Hii nchi ni ya kipumbavu sana.

Pale Moshi Kuna umeme unazalishwa na TPC. Baadhi ya vigogo waliukataa, ule umeme umenunuliwa na Kenya. Umeenda hadi himo , umedumbukia Kenya.

Haya Mambo yanaumiza na sisi wanyonge tutaendelea kunyongwa hadi tupate Rais mtetezi wetu ambaye hata kama anaiba basi anaiba 10% na 90% anarudisha kwa wananchi.

Huyu Mama anakula Zote kabisa na harudishi hata tone.

Unawaambiaje watu unataka kununua umeme ilhali wanajua Wana bwawa lao la kujivunia East Africa walilojengewa na Mwendazake Tena kwa vikwazo vingi Toka Kwa mabeberu????

The math is not mathing in this one. Shame on Bibi Kizimkazi.
 
Mmmh !
Mgosi anarudi tena ???!! 😳
Ngoja tuone !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…