Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

Cha ajabu jana alivyotoa hiyo kauli ,kuna mazuzu ya ccm yakawa yanamshangilia hadi kugalagala.
 
Kwa hiyo Ethiopia ni karibu kuliko umbali vilipo vyanzo vyenu?
 
Yale yale tunalima pamba tunanunua nguo China, tunazalisha natural gas tunanunua LPG nk kwa hiyo tutauza umeme kwa bei ndogo tutanunua ungine kwa bei kubwa. Watu wakilizwa na lbl tunawashangaa lakini nchi ina mind set hiyo hiyo
 
Ministry of Energy msaidieni Mheshimiwa Rais katika Mambo haya mana Mnamtengenezea Usumbufu ambao hauna maana nyie ni wataalam kabisa kwanini Mnashauri Vitu ambayo vitaleta Hasara kwa taifa letu?
 
Ni hivi, huo umeme hautatoka Ethiopia, ni huo huo wa Rufiji ndio tutaununua na kudai umetoka Ethiopia..
Usinikumbushe issue ya nguzo za umeme zilizotokuwa zinatoka Mufindi zinapelekwa bandari ya Mombasa halafu zinarudishwa nchini kwa kisingizio cha South Africa
 
Back
Top Bottom