Yale yale tunalima pamba tunanunua nguo China, tunazalisha natural gas tunanunua LPG nk kwa hiyo tutauza umeme kwa bei ndogo tutanunua ungine kwa bei kubwa. Watu wakilizwa na lbl tunawashangaa lakini nchi ina mind set hiyo hiyo
Ministry of Energy msaidieni Mheshimiwa Rais katika Mambo haya mana Mnamtengenezea Usumbufu ambao hauna maana nyie ni wataalam kabisa kwanini Mnashauri Vitu ambayo vitaleta Hasara kwa taifa letu?
Usinikumbushe issue ya nguzo za umeme zilizotokuwa zinatoka Mufindi zinapelekwa bandari ya Mombasa halafu zinarudishwa nchini kwa kisingizio cha South Africa