Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

Giza ni Nene Mvua inyeshe kidogo tupate USINGIZI maana mbu wanapiga Doria HATARI ni mwendo wa patrol ya Mwili wanatembelea mpaka kisigino
Kwakweli kuna giza totoro, Tunachohofia ni uhalifu wezi wakianza kukariri umeme unakatika muda flani usiku wa manane
 
Kwakweli kuna giza totoro, Tunachohofia ni uhalifu wezi wakianza kukariri umeme unakatika muda flani usiku wa manane
Mboni ubalozini hawakati umeme? Balozi ZOTE uswiss, France, America hawakati umeme hayo maeneo hata iweje Ila huko kwa raia mafichoni Jamaa wanazima mshumaa
 
Ni rasmi sasa huu ni mgao, jana nilidhani labda ni hitilafu ila leo wamerudia tena kwenye mida ya saa tisa kasoro.

Location : Mbeya
Huu hauwezi kuwa mgao kama umekatika maeneo yote nchini. Kutakuwa na hitilafu. Ni ipi, hilo ndilo swali. Mbona hawasemi?
 
Kila kitu nchi hii ni ubabaifu. Mpaka Hidaya naye kawa Sisiemu.

Anatembea 110kph mpaka 120kph, baharini, toka juzi na bado hajafika nchi kavu, foleni gani hiyo inayo mkwamisha?

Achangamke, kama ni hayo maji, atuletee mapema basi, nchi iko gizani huku.
 
Back
Top Bottom