welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
viongozi wanakaa nyumba za bure na zinamajenereta shida za wananchi haziwahusu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ustahimilivu na subra ni muhimu sana katika changamoto kama hizi...Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika.
Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa kukata umeme usiku.
Mathalani, hapa kwetu tuna siku ya 4 wanakata asubuhi wanarudisha usiku kwa kisingizio cha matengenezo wallah these people are sick...
Kila siku wanakuja na drama mpya na kuomba radhi kusikoisha we are tired from their disgusted drama!!They are fooling us everyday....we are discouraged enough......Hili shirika halijawahi kuwa shirika....
Tatizo huenda ni mamba na viboko waliozagaa kwenye bwawa kulikosababishwa na mafuriko, wanyama hawa huenda wanakula vikombe vya kwenye nguzo, tuwe watulivu na tuwadhibiti wanyama hawa.Je, ulipo kuna umeme?
Umeme umekatika saa 8 na dk 39 usiku huu na watu wengi sana wanasema makwao hakuna umeme
Tusubirie walete zile ngonjera za hitilafu kwenye grid hili shida halina staha kabisa tena limekosa haya na stara ya kuitwa shirika.
Ni uhayawani wa hali ya juu na umajinuni mkubwa kukata umeme usiku.
Mathalani, hapa kwetu tuna siku ya 4 wanakata asubuhi wanarudisha usiku kwa kisingizio cha matengenezo wallah these people are sick...
Kila siku wanakuja na drama mpya na kuomba radhi kusikoisha we are tired from their disgusted drama!!They are fooling us everyday....we are discouraged enough......Hili shirika halijawahi kuwa shirika....
Nasubiri simu yako ikate chaji 😂😂Laleni nyie wanga wakubwa mpaka usiku mnaichunguza Tanesco 🐒
Ndio alooMatulunga ya wapi? Iniho - Makete?
Haya Mkuu wasalimie watu wa Mtaa wa Matulunga bila kusau Isyeto na Swengo.Ndio aloo
Swengu kwa mwakajilaHaya Mkuu wasalimie watu wa Mtaa wa Matulunga bila kusau Isyeto na Swengo.