Umeme ushakatika maeneo mengi muda huu, ulipo upo?

viongozi wanakaa nyumba za bure na zinamajenereta shida za wananchi haziwahusu!
 

Umeme ukikatika hawa jamaa ndo wanaanza fujo sasa
 
ustahimilivu na subra ni muhimu sana katika changamoto kama hizi...

kuna hitilafu kidogo ya kiufundi imetokea, wataalamu wanashughulika nayo kwa bidii sana,. Na kwa muda usio kua mrefu, huduma za uhakika za umeme zitarejea katika hali ya kawaida πŸ’
 
Nchi ya kiwaki sana
 

Attachments

  • IMG-20240504-WA0001(1).jpg
    103.1 KB · Views: 2
Tatizo huenda ni mamba na viboko waliozagaa kwenye bwawa kulikosababishwa na mafuriko, wanyama hawa huenda wanakula vikombe vya kwenye nguzo, tuwe watulivu na tuwadhibiti wanyama hawa.
 
Hata hapa nilipo wamekata, niko boda
Hili shirika lisingekuwa kama ndio shamba pekee la upigaji lililobaki...wangekuwa wamelibinafisha na tungesahau kabisa adha ya umeme!.... Na ngojera zao za kila siku

Washauza bandari!... Hapa ndipo mahala pekee pa kupigiwa pesa palipobaki!
 
Shirika la kipuuzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…